Nataka niache advance PCB nahisi imenishinda

MREJESHO...

Wakuu kwa sasa nimerudi baada ya miaka kadhaa naomba nilete mrejesho.

Kiukweli sikuweza kuendelea na advance pcb nikaamua kwenda diploma ya afya kwa course ya Nursing and Midwifery,nikagraduate mwaka 2020.

Baada ya hapo nimeweza kufanya kazi hospital mbili moja dispensary dar na nyingine mkoani Iringa hospitali ya mkoa.

Kwa sasa Tangu mwaka jana niko mona ya shirika kubwa la afya nikifanya kazi mbalimbali katika project zinazohusiana na research.

Hivyo sijajutia uamuzi nilioufanya kama itampendeza Mungu mwaka huu,ntarudi kusoma bachelor ya physiotherapy Muhas au natafuta scholarship nikasome Public health bachelor nje.

Asanteni sana.

Narudi kwenye id yangu mpya...
 
Hongera kwa maamuzi hayo, kwanini physiotherapy au hiyo public health kwanini usiendelee na unesi?
 
MREJESHO...

Wakuu kwa sasa nimerudi baada ya miaka kadhaa naomba nilete mrejesho.

Kiukweli sikuweza kuendelea na advance pcb nikaamua kwenda diploma ya afya kwa course ya Nursing and Midwifery,nikagraduate mwaka 2020.

Baada ya hapo nimeweza kufanya kazi hospital mbili moja dispensary dar na nyingine mkoani Iringa hospitali ya mkoa.

Kwa sasa Tangu mwaka jana niko mona ya shirika kubwa la afya nikifanya kazi mbalimbali katika project zinazohusiana na research.

Hivyo sijajutia uamuzi nilioufanya kama itampendeza Mungu mwaka huu,ntarudi kusoma bachelor ya physiotherapy Muhas au natafuta scholarship nikasome Public health bachelor nje.

Asanteni sana.

Narudi kwenye id yangu mpya...
You were right to dump PCB dude. That combination is hard than anything else when you are in A level and you could've regretted your decision to continue with it, only if you would have followed the advice of people here in JF six years ago.
 
Hongera kwa maamuzi hayo,kwanini physiotherapy au hiyo public health kwanini usiendelee na unesi?
Siko na maamuzi ya kuendelea na uuguzi.. nimekuwa kuona ni Course ina changamoto zake nyingi ambazo mimi nimeona sitaweza kuzimudu.

Nikawa na wazo nisome physiotherapy uhitaji wake katika soko mdogo ila baadae watahitajika sana, na kuhusiana na public health kwa sababu nishakuwa attached na NGO nimekuwa interest wa kufanya kazi hizi.

Kiukweli nikiri kada ya nesi sitaweza kuendelea nayo ina madudu mengi sana hospitali...Labda kama nitasoma Nurse Anesthesia kidogo nafuu.
 
You were right to dump PCB dude. That combination is hard than anything else when you are in A level and you could've regretted your decision to continue with it, only if you would have followed the advice of people here in JF six years ago.
Mimi ilinishinda na nikaja kuomba huku ushauri JF wengi wakaniambia niendelee, nikasema kuliko kupoteza miaka miwili huu mmoja unatosha wenzangu wanaendelea na Six mimi nimeanza diploma leo nimemaliza Mungu amesaidia nafanya kazi na maisha.

Sitaki kuzungumzia sana wale wenzangu walioendelea na advance na waliniona nimefanya maamuzi ya kijinga.
 
Since nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaidi napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa PCB sasa nimekata tamaa kabisa na kuona hakuna ninachofanya zaidi ya kwenda kuzungusha form six 2018. Hivyo rasmi nahitaji kuongea na wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine

N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi

Pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB

==========

MREJESHO(2023)

Wakuu kwa sasa nimerudi baada ya miaka kadhaa naomba nilete mrejesho.

Kiukweli sikuweza kuendelea na advance PCB nikaamua kwenda diploma ya afya kwa course ya Nursing and Midwifery, nikagraduate mwaka 2020.

Baada ya hapo nimeweza kufanya kazi hospital mbili moja dispensary Dar na nyingine mkoani Iringa hospitali ya mkoa.

Kwa sasa Tangu mwaka jana niko moja ya shirika kubwa la afya nikifanya kazi mbalimbali katika project zinazohusiana na research.

Hivyo sijajutia uamuzi nilioufanya kama itampendeza Mungu mwaka huu nitarudi kusoma bachelor ya physiotherapy Muhas au natafuta scholarship nikasome Public health bachelor nje.

Asanteni sana.

Narudi kwenye id yangu mpya...
Wewe jamaa ulicheza kama komando,umefanya maamuzi magumu sana ambayo binadamu mwenye roho ya kitoto hawezi kufanya hivyo.

Karibu katika ulimwengu wa afya,nakuomba uendelee na unesi huo huo ili unichome sindano vizuri maana una concept za pcb
 
Mbona mmetonesha kidonda changu!!
Maisha yangu ya sasa ni magumu mno kwa sababu ya hyo comb nilichanganyikiwa nikawa kama chizi mixer depression worst kabisa nika attempt suicide na hata mtihani sikufanya nikawadrop out..
Sasa nipo kitaa nimetengwa na familia sina hili wala lile wanadai nilipoteza pesa zao.
Na hapo o level physics nilipata A Chemistry C biology A.
SOmetimes nawazaga Maisha haya nashindwa kuelewa.
 
Nilizani kama Kaka zangu wanaotaka kunipoteza kuja kusoma college
Sasa nimeanza kuelewa kwann
Waliniambia nije kusoma CO
Badala ya PCB japo O level nime pass
Vizuri
 
Siko na maamuzi ya kuendelea na uuguzi.. nimekuwa kuona ni Course ina changamoto zake nyingi ambazo mimi nimeona sitaweza kuzimudu.

Nikawa na wazo nisome physiotherapy uhitaji wake katika soko mdogo ila baadae watahitajika sana, na kuhusiana na public health kwa sababu nishakuwa attached na NGO nimekuwa interest wa kufanya kazi hizi.

Kiukweli nikiri kada ya nesi sitaweza kuendelea nayo ina madudu mengi sana hospitali...Labda kama nitasoma Nurse Anesthesia kidogo nafuu.
Yataje hayo madudu.
 
Mbona mmetonesha kidonda changu!!
Maisha yangu ya sasa ni magumu mno kwa sababu ya hyo comb nilichanganyikiwa nikawa kama chizi mixer depression worst kabisa nika attempt suicide na hata mtihani sikufanya nikawadrop out..
Sasa nipo kitaa nimetengwa na familia sina hili wala lile wanadai nilipoteza pesa zao.
Na hapo o level physics nilipata A Chemistry C biology A.
SOmetimes nawazaga Maisha haya nashindwa kuelewa.
Aisee pole kwann hukukomaa ukapata matokeo hata ya kawaida ukaenda kupiga dipoma za mifugo mana mm ilinizingua nikakomaa ivo ivo mwisho wa siku nkapata 3 ya mwisho nkakomaa na diploma ya mifugo sa ivi n afsa mifugo na maisha fresh nna nyumba tatu moja dar mbili tabora nko nzega na kagari kamoja shida watu wa pcb tunakomaa kuwa ma dr tu wakat unapoteza muda huko mm na dipolama yang ya mifugo dr wa binadam nilieajiriwa nae mwaka mmoja haniwez kimaisha
 
Since nimeingia advance sijawahi kupata zaidi ya 50marks kwenye chem&phys zaidi napataga kwa bios isitoshe mtihani wangu wa annul form five nimepata zero ffs respectively kwa PCB sasa nimekata tamaa kabisa na kuona hakuna ninachofanya zaidi ya kwenda kuzungusha form six 2018. Hivyo rasmi nahitaji kuongea na wazazi nitafute alternative ways ya kwenda collage nikachuke course nyingine

N.B sio kwamba sisomi nasoma tena sana ila sielewi kwanini inakuwa hivi

Pia o level nilifaulu vizuri tu kwa CCA in PCB

==========

MREJESHO(2023)

Wakuu kwa sasa nimerudi baada ya miaka kadhaa naomba nilete mrejesho.

Kiukweli sikuweza kuendelea na advance PCB nikaamua kwenda diploma ya afya kwa course ya Nursing and Midwifery, nikagraduate mwaka 2020.

Baada ya hapo nimeweza kufanya kazi hospital mbili moja dispensary Dar na nyingine mkoani Iringa hospitali ya mkoa.

Kwa sasa Tangu mwaka jana niko moja ya shirika kubwa la afya nikifanya kazi mbalimbali katika project zinazohusiana na research.

Hivyo sijajutia uamuzi nilioufanya kama itampendeza Mungu mwaka huu nitarudi kusoma bachelor ya physiotherapy Muhas au natafuta scholarship nikasome Public health bachelor nje.

Asanteni sana.

Narudi kwenye id yangu mpya...
Ooh safi sana kutupa mrejesho. Ita inspire wengine kujaribu plan B.
 
Aisee pole kwann hukukomaa ukapata matokeo hata ya kawaida ukaenda kupiga dipoma za mifugo mana mm ilinizingua nikakomaa ivo ivo mwisho wa siku nkapata 3 ya mwisho nkakomaa na diploma ya mifugo sa ivi n afsa mifugo na maisha fresh nna nyumba tatu moja dar mbili tabora nko nzega na kagari kamoja shida watu wa pcb tunakomaa kuwa ma dr tu wakat unapoteza muda huko mm na dipolama yang ya mifugo dr wa binadam nilieajiriwa nae mwaka mmoja haniwez kimaisha
Mkuu mambo yalishaharibika, ujue nilikosa support.
 
Duh pole mkuu ndo ivo ivi vitu vinahitaji sapot coz kipind icho umri unakuwa mdogo wa kupambanua mambo but usikate tamaapambana utoboe popote pale mungu aliko kupangia sio lazima kusoma
 
Back
Top Bottom