Nataka kwenda kuchora Tatoo

Nataka kwenda kuchora Tatoo

Kama unachora kwa faida yako fanya ila kama ni kumfurahisha mtu hasa mwanaume ahaaaa eti daima aishi mwilini mwako??? Pole sana.

Kama ni mzazi wako nenda hata sasa hivi ila mwanaume pole in advance hawanaga shukrani.

Wakati unaangaika na kugarimia hayo yote anambinua mwingine.
Asante kwa pole ila hamjui ninalotaka kulifanya,mna piga ramli tu mpaka manyanga yachomoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda posta (Dsm), kuna mgahawa umejificha sana unaitwa 'Azuri' kwa nyuma ya huo mgahawa upande wa mashariki kuna jamaa huwa anachora Tattoo nzur sana,tatzo tattoo zake hawez kufuta mtu mwingine tofauti na yeye.But again you have to think twice and intellectually,fikiria ukitaka kuajiriwa na shirika au kampuni flani ambalo hawataki uwe na tattoo ktk sehem yoyote ya mwili...what are u gonna do?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hansi yuko vizuri sana, sema ukikaa kihasarahasara atakutomba yule ana mizuka kama nanihii. Kashawatomba wengi tu
 
Wewe ni malaya sana

Ulimtukanaga mpaka mkwe wako

Humuheshimu mumeo kisa kiwete.

Ila kama upo serious njoo inbox nikupe namba ya mchora tatoo mashuhuri
Duh! Mie nimemtukana mume wangu kisa kiwete! Hakika Dunia ina vichaa hii haya nipe ramani ya kunifikisha kwa mchora Tatoo na mawasiliano yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umchore mwanao au wazazi wako, hawa ndugu zetu wa kiume hawakawii kukugeuka baadae ukaja jifuta na pasi hiyi tattoo.
Kuna mmoja yuko mwananyamala manjunju/posta kama unashuka kuelekea mwananyamala B shule ya msingi. Nimeona kawachora rafiki zangu watatu vizuri sana na bei rahisi tu.
Siku nikipata ujasiri nitaenda kuchora jina la my son..
Angalau umenijibu swali langu,shukrani sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Mie nimemtukana mume wangu kisa kiwete! Hakika Dunia ina vichaa hii haya nipe ramani ya kunifikisha kwa mchora Tatoo na mawasiliano yake

Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza wewe ni muongo ukisema Kasimu amepata ajali na mama mkwe wako anakutesa
Halafu kwenye uzi wako mwingine unasema kasimu kafa 2015 kifo cha ghafla na sasa unaishi na rafiki yake abeid.
 
Bora umchore mwanao au wazazi wako, hawa ndugu zetu wa kiume hawakawii kukugeuka baadae ukaja jifuta na pasi hiyi tattoo.
Kuna mmoja yuko mwananyamala manjunju/posta kama unashuka kuelekea mwananyamala B shule ya msingi. Nimeona kawachora rafiki zangu watatu vizuri sana na bei rahisi tu.
Siku nikipata ujasiri nitaenda kuchora jina la my son..
Babe kwa hiyo nifute hii yako ya kifuaani upande wa kushoto?
 
Babe kwa hiyo nifute hii yako ya kifuaani upande wa kushoto?
Bby si tulikubaliana nitakuchora nikimaliza kuchora watoto? Wewe nichore mimi nachora watoto wetu kwanza..
 
Watanzania kwa hofu ya kujutia tu hamjambo! Kumbuka hujakosea hujafanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanadhani we ni mtoto bado hujajua nini unataka ndo maana kila kitu dhambi dhambi.... wamesahau kuzini pia ni dhambi na wanafanya. Kachore mwaya akikuzingua unachora ua maishs yanaendelea.
 
Watu wa dini na wahafidhina wanapingana na hayo mambo...jamii unayoishi ni watu wa dini/wahafidhina? Unajali jinsi jamii inayokuzunguka inavyokuona?
Kama majibu ni hapana basi nenda
Naenda nipe njia,hicho tu ndicho ninachohitaji ! Dunia hii kwa dhambi huwezi kuishinda kila mtu ana dhambi zake kulingana na hitaji la moyo wake! Tushasema sana uongo,tushatukana sana,tusha zini sana,tusha sengenya mnoo ajabu Leo mwaona dhambi yangu ni kubwa mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bby si tulikubaliana nitakuchora nikimaliza kuchora watoto? Wewe nichore mimi nachora watoto wetu kwanza..
Itabidi nikaongeze nyingine ya July 05 kukulipa deni la kutokusema... HBD.
 
Mjini location zipo nyingi saana.... Raha ya tattoo uwe na Ngozi angavu kama imefubaa ni shida.

nenda kipawa pale parish pale pale beneath kuna saloon wanaita Soul tattoo salon.


Kuna tena hawa jamaa wanaitwa Pollo tattoo wapo bamaga.. ni maarufu saana.
Shemeji rangi yangu ni ya mtume babaa! Ntakuonyesha nikifanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua ni haramu lakini nahisi nataka hicho kitu,nataka kuweka alama ya ukumbusho wa jina la mtu muhimu sana kwangu!! Hivyo nimevutiwa kwenda kuchora sehemu ya mwili wangu (mkononi) kama ishara yeye kuishi daima mwilini mwangu.
Wazoefu naomba mnipe location ya fundi mzuri wa Tatoo na approximation ya gharama zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
karbu tabata nikuchore mrembo ukitaka kifuani fresh tu hata ile ya tako kama gigy money malipo tutaelewana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom