Ally Kombo
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 11,429
- 2,645
mkuu hata kwetu wapo hao pia. Ni sebene hadi kunakucha, siku hizi wanapigilia suruali za kitambaa panapana, mashati ya kung'aa na moka nyeupe. Kazi ipo
.......... wanamfanyia YESU promotion !!!!! :amen: