Nataka kuwashtaki waislam!!

Waswis walishindwa waislamu less than percent itakuwa hapa mkuu, nakuhakikishia hilo huwezi mpaka kiama

.................... Vp kuhusu huyu GAMANYWA, una USHAURI ? maana yeye anaanza SEBENE saa nne mpaka majogoo ! wenyewe wanaita mkesha ! Tabu inazidi pale wanapoanza kutoana MAPEPO ...........(toka ! sitoki....! toka....! sitoki ! kwa jina la bwana toka ! sitoki !!! ...... then wananena kwa lugha ........ hawezi kuiandika !) utafikiri kuna MABEBERU yanachinjwa ! tafrani moja kwa moja ! daaah ! :frusty:
 
Hizo njia mkipata na mimi zitanisaidia kuna ma-bar na majirani wengine hawana ustaarabu kelele from dusk till dawn.... sijui kwanini wasitengeneze vyumba soundproof....

............. kuna Mchaga nilipambana nae mpaka kafunga kijigrocery chake ! ila anakusanya nguvu anafungua bonge la bar usoni kwangu kabisa ! cha msingi tunakusanya nguvu mtaa mzima bila yeye kujua, atashangaa siku akifungua atakavyo pigwa BAN !:shetani:
 
kikubwa tuvumiliane ili kuishi pamoja tena kwa amani na upendo maana leo ukichukia kelele za kipaza sauti cha nyumba ya ibada kikitolewa utalalamikia tena sauti ya redio ya mpangaji wako au jirani yako.
 
Jaribu kusema nao one to one. Wasiposikia tafuta wakili mzuri, lazima zipo njia za kufungulia mashtaka
Hawa jamaa si wasikivu ukijaribu kuwaambia utasikia kelele zao tena watataka wewe ndiye uhame hapo. Shauri yako. Go ahead, nenda mahakamani huko ndiko utamalizia mzizi wa fitina.
 
kikubwa tuvumiliane ili kuishi pamoja tena kwa amani na upendo maana leo ukichukia kelele za kipaza sauti cha nyumba ya ibada kikitolewa utalalamikia tena sauti ya redio ya mpangaji wako au jirani yako.
Kikubwa tuwe wastaarabu.. kama unajua shughuli unazofanya zina kelele na upo karibu na watu tengeneza sound proof... sio wote wanataka au wanapenda kusikia unachokifanya.
 
........... hiyo njia ukiipata na mie itanisaidia ! kuna Kanisa jirani yangu linaitwa "wapo" kila IJUMAA kuanzia saa nne usiku linamwagwa SEBENE mpaka asubuhi, ukizingatia KANISA lenyewe wameezeka mabati tu juu ili wasinyeshewe na mvua ! pia alipoona mgao waDOWANS unamzingua kafunga kinu kikubwa kweli cha kufua umeme, ili aliendeleze libeneke! Bora wewe unaamshwa, sie hatulali kabisaaaaa !!!!!:crying:
Ally, Mimi kuna kanisa hapa jirani la waroma kengere zao asubuhi jpili zinanitibua ile mbaya.... natamani kesi mojawapo kati ya hizi zifanikiwe na wengine tupate reference mahakamani.
 
Wana jf, mimi siko vizuri sana na sheria naombeni ushauri kama inawezekana nikawashtaki viongozi wa msikiti ulio jirani na nyumbani kwangu maana kila ikikaribia saa kumi na moja alfajiri wanatoa sauti kubwa kwa kipaza sauti, ambayo huwa inanisababishia usumbufu mkubwa nikiwa nimelala kiasi kwamba nimeanza kufikiria kuuza kibanda changu ili kuepuka huu usumbufu, kabla sijakimbia nataka nijue kama naweza kushtaki mahakamani ili waache kufanya hivyo. Je naweza kuwashtaki? niya yangu si fidia nataka court injunction wasiendelee na huo utaratibu.

Hiyo ni public nuisance. Huna locus nayo. Wakili atakayekueleza kuwa anaweza kuiprosecute hiyo case, ni muongo au labda anataka kujaribu ili aandikwe kwenye magazeti. It is imposible.
 
Kikubwa tuwe wastaarabu.. kama unajua shughuli unazofanya zina kelele na upo karibu na watu tengeneza sound proof... sio wote wanataka au wanapenda kusikia unachokifanya.

kumbuka adhana ndio inakumbusha waislamu kwenda kusali na kwa upande wangu ile kengere ndio hua ina ni alati kwenda kanisani kusali hivyo basi ukiweka sound proof utaharibu dhana nzima.
 
kikubwa tuvumiliane ili kuishi pamoja tena kwa amani na upendo maana leo ukichukia kelele za kipaza sauti cha nyumba ya ibada kikitolewa..

Kesho kuna mwingine atalalamikia kelele za kengele za kanisani za ibada ya asubuhi.
 
kumbuka adhana ndio inakumbusha waislamu kwenda kusali na kwa upande wangu ile kengere ndio hua ina ni alati kwenda kanisani kusali hivyo basi ukiweka sound proof utaharibu dhana nzima.
Twende na wakati hio ni miaka ile watu hawana saa wala alarm clocks sasa sababu zipo tusiwasumbue wengine wanaopenda utulivu na usingizi wao
 
Jamani nadhani hizi dini pamoja na shughuli zao hazijaanza leo. Wazee wetu walivumiliana. Sisi nini kinatushinda? Watu waliosoma Sociology si kwa nia ya kubangaiza, wanaweza kutuletea suluhisho la tatizo hili linaloanza kuibuka kwa kasi hasa baada ya uchaguzi wa 2010.
 
Msikiti nyumba ya pili hujui vya kukutana nao? Huna rafiki jirani hapo ambae ni Muislam akakusaidia kukukutanisha nao basi?

Inaonyesha anachangamsha baraza tu kwahiyo nenda nae kuchangamsha baraza hivyo hivyo kama na wewe una rafiki yako mwislam jirani yake anafuga nguruwe harufu yote inafika kwa rafiki yako je anaweza kumshitaki? Hahahahahaha JF kazi kwel kwel upo jirani ya msikiti hujui hata kiongozi wa msikiti?
 
Wana jf, mimi siko vizuri sana na sheria naombeni ushauri kama inawezekana nikawashtaki viongozi wa msikiti ulio jirani na nyumbani kwangu maana kila ikikaribia saa kumi na moja alfajiri wanatoa sauti kubwa kwa kipaza sauti, ambayo huwa inanisababishia usumbufu mkubwa nikiwa nimelala kiasi kwamba nimeanza kufikiria kuuza kibanda changu ili kuepuka huu usumbufu, kabla sijakimbia nataka nijue kama naweza kushtaki mahakamani ili waache kufanya hivyo. Je naweza kuwashtaki? niya yangu si fidia nataka court injunction wasiendelee na huo utaratibu.
Namimi nayatafutia ufumbuzi yale makengele ya kanisani yanayopigwa asubuhi na jioni na wale wakristo wanaosimama kwenye vituo vya mabasi na kupigia watu kelele.
 
step 1: tafuta suluhu kistaarabu. ikishindikana nenda step 2

step 2: peleka malalamiko rasmi serikalini (ngazi yoyote). ikishindikana nenda step 3

step 3: tafuta msaada wa kisheria. ikishindikana nenda step 4

step 4: nunua kipaza sauti chenye sauti kali kuliko cha huyo unayemlalamikia. akiwasha chake, unawasha chako.

am sure step 4 itachochea uwezekano wa step 1 au/na step 2 kufanya kazi.

give it a shot!!

Hii inanikumbusha Mbagala wakristo baada ya kuona hiyo habari ya alfajili inazidi, basi na wao wakanunua spika za nguvu na kuanza kupiga kwaya za nguvu alfajili kwa sauti kubwa basi vurugu mtindo mmoja hakuna kusikilizana. Kama unabisha waulize watu wa Mbagala.
 
Sidhani kama Tanzania kuna sheria za Noise Control. Nchi za wenzetu husikiii cha adhana wala kengele za kanisa watu wanaangalia saa tu na wanajua wakati wa kusali hakuna mantiki ya maspika na makengele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom