Nataka kuwashtaki waislam!!

Nataka kuwashtaki waislam!!

.................... Vp kuhusu huyu GAMANYWA, una USHAURI ? maana yeye anaanza SEBENE saa nne mpaka majogoo ! wenyewe wanaita mkesha ! Tabu inazidi pale wanapoanza kutoana MAPEPO ...........(toka ! sitoki....! toka....! sitoki ! kwa jina la bwana toka ! sitoki !!! ...... then wananena kwa lugha ........ hawezi kuiandika !) utafikiri kuna MABEBERU yanachinjwa ! tafrani moja kwa moja ! daaah ! :frusty:

Na wewe umesha tolewa mapepo mangapi?

Sasa rudi kwenye mada, kwanini mnasumbuwa watu alfajir? Hivi hamwezi kujiamsha wenyewe mpaka kulazimishana tuuuu, tena kwa matarumbeta? Swaallaaaaaaaa? Yakh, Hivi huyo alla wenu mbona ni shari kila kona?
 
Waislam pamoja na allah wao wameonyesha kuwa wao si wastaarab kabisa. Allah wao amekuwa mstari wa mbele kulazimisha watu wamswalie tena kwa bakora kule kweye mad-rassa.

Mwenye akili timamu anajuwa kuwa KIBAYA CHAJITEMEBEZA tena kwa kupiga swalaaa alfajir, lakini KIZURI CHAJIUZA CHENYEWE, bila ya kulazimishana.
 
Nadhani Mkuu inabidi uhame hapo, maana hata mimi ilinitokea na nikahama maana ni uhuru wa kuabudu huo. Hivi ni kwa nini kule Mikocheni na Masaki na Mbezi Beach, Oysterbay etc huwa hawasumbuliwi na hizi kelele za misikitini??
 
JF ni burudani tosha.

Hawa wanataka kuisilimisha nchi.
hawa wanataka kuisilimua nchi
hawa wanataka kuikristo nchi
hawa wanataka kui"paganisha" nchi

Muelewe tu, hakuna atakaeshinda hapo, kila mmoja atajuta.
Misikiti na makanisa yamekuwepo kwa zaidi ya miaka 100, hizi choko choko hazikuwepo.
Someni historia ya nchi, iliyokuwa Tanganyika...sasa haya yanakujaje leo?
Tumeshachoka kuishi kwa salama na amani na kuheshimiana?
Ok, kama tumechoka amani?, Na sasa tunataka kujaribu vita?

wakuu kaeni na mufikiri vizuri,,hizo chochoko tunazozianzisha, na kuzikoleza, kuzipigia tarumbeta na vuvuzela ndio zinakuwa kila leo...jee tumeshajitayarisha na matokeo yake?
halafu tusijekujifanya kuwa hatukuhusika!
 
Wana jf, mimi siko vizuri sana na sheria naombeni ushauri kama inawezekana nikawashtaki viongozi wa msikiti ulio jirani na nyumbani kwangu maana kila ikikaribia saa kumi na moja alfajiri wanatoa sauti kubwa kwa kipaza sauti, ambayo huwa inanisababishia usumbufu mkubwa nikiwa nimelala kiasi kwamba nimeanza kufikiria kuuza kibanda changu ili kuepuka huu usumbufu, kabla sijakimbia nataka nijue kama naweza kushtaki mahakamani ili waache kufanya hivyo. Je naweza kuwashtaki? niya yangu si fidia nataka court injunction wasiendelee na huo utaratibu.

Hupo ndani ya nchi ya Waislamu, inabidii uhamie nchi ya wakristo, hujui kuwa Tanzania kuna mataifa mawili?
 
Waislam pamoja na allah wao wameonyesha kuwa wao si wastaarab kabisa. Allah wao amekuwa mstari wa mbele kulazimisha watu wamswalie tena kwa bakora kule kweye mad-rassa.

Mwehnye akili timamu anajuwa kuwa KIBAYA CHAJITEMEBEZA tena kwa kupiga swalaaa alfajir, lakini KIZURI CHAJIUZA CHENYEWE, bila ya kulazimishana.

Wewe naona utakuwa na mwisho mbaya katika maisha yako na usipotubu kwa M/Mungu Allah utakuwa mwenye kuangamia,..... mark my words.
 
step 1: tafuta suluhu kistaarabu. ikishindikana nenda step 2

step 2: peleka malalamiko rasmi serikalini (ngazi yoyote). ikishindikana nenda step 3

step 3: tafuta msaada wa kisheria. ikishindikana nenda step 4

step 4: nunua kipaza sauti chenye sauti kali kuliko cha huyo unayemlalamikia. akiwasha chake, unawasha chako.

am sure step 4 itachochea uwezekano wa step 1 au/na step 2 kufanya kazi.

give it a shot!!

Hapa sasa nimeshauriwa
 
JF ni burudani tosha.

Hawa wanataka kuisilimisha nchi.
hawa wanataka kuisilimua nchi
hawa wanataka kuikristo nchi
hawa wanataka kui"paganisha" nchi

Muelewe tu, hakuna atakaeshinda hapo, kila mmoja atajuta.
Misikiti na makanisa yamekuwepo kwa zaidi ya miaka 100, hizi choko choko hazikuwepo.
Someni historia ya nchi, iliyokuwa Tanganyika...sasa haya yanakujaje leo?
Tumeshachoka kuishi kwa salama na amani na kuheshimiana?
Ok, kama tumechoka amani?, Na sasa tunataka kujaribu vita?

wakuu kaeni na mufikiri vizuri,,hizo chochoko tunazozianzisha, na kuzikoleza, kuzipigia tarumbeta na vuvuzela ndio zinakuwa kila leo...jee tumeshajitayarisha na matokeo yake?
halafu tusijekujifanya kuwa hatukuhusika!

Naomba ushauri ndugu yangu naona umesahau ombi langu ni nini
 
Hupo ndani ya nchi ya Waislamu, inabidii uhamie nchi ya wakristo, hujui kuwa Tanzania kuna mataifa mawili?

Sina habari, naomba msaada wa kisheria tu ndugu yangu nahisi kama umesahau ombi langu ni nini
 
Nadhani Mkuu inabidi uhame hapo, maana hata mimi ilinitokea na nikahama maana ni uhuru wa kuabudu huo. Hivi ni kwa nini kule Mikocheni na Masaki na Mbezi Beach, Oysterbay etc huwa hawasumbuliwi na hizi kelele za misikitini??

Huenda walitatua kisheria ndo maana nimeleta ombi hapa jamvini kama kuna mtu ana idea
 
mkuu me nakushauri usome angalau sheria ya public health act of 2009
 
.................... Vp kuhusu huyu GAMANYWA, una USHAURI ? maana yeye anaanza SEBENE saa nne mpaka majogoo ! wenyewe wanaita mkesha ! Tabu inazidi pale wanapoanza kutoana MAPEPO ...........(toka ! sitoki....! toka....! sitoki ! kwa jina la bwana toka ! sitoki !!! ...... then wananena kwa lugha ........ hawezi kuiandika !) utafikiri kuna MABEBERU yanachinjwa ! tafrani moja kwa moja ! daaah ! :frusty:

Ndo maana nimeleta ombi hapa kujua kama kuna suruhu ya kisheria wewe inaonyesha ni mdandia mada
 
Ezan acha udini!na cc waislam amboa tupo karibu na kanisa ambao wanapiga kengele asubuh saa kumi na mbili tufanye hivyo!hebu kuwa mstaarabu acha watu wafanye ibada zao bwana angalia utalaaniwa na muumba inamaana ww unaona usingizi wako ni bora kuliko ibada ya mungu!take care.
 
JF ni burudani tosha.

Hawa wanataka kuisilimisha nchi.
hawa wanataka kuisilimua nchi
hawa wanataka kuikristo nchi
Wengine wanataka kuichademesha nchi [/QUOTE]
hawa wanataka kui"paganisha" nchi

Muelewe tu, hakuna atakaeshinda hapo, kila mmoja atajuta.
Misikiti na makanisa yamekuwepo kwa zaidi ya miaka 100, hizi choko choko hazikuwepo.
Someni historia ya nchi, iliyokuwa Tanganyika...sasa haya yanakujaje leo?
Tumeshachoka kuishi kwa salama na amani na kuheshimiana?
Ok, kama tumechoka amani?, Na sasa tunataka kujaribu vita?

wakuu kaeni na mufikiri vizuri,,hizo chochoko tunazozianzisha, na kuzikoleza, kuzipigia tarumbeta na vuvuzela ndio zinakuwa kila leo...jee tumeshajitayarisha na matokeo yake?
halafu tusijekujifanya kuwa hatukuhusika!
 
Ndugu zangu tuvumiliane kama vile Baniani anavyotuvumilia kwa kumchinja mungu wake ng'ombe maana kwetu sisi ni mboga la sivyo hama kama kero hiyo imezidi kinyume cha hilo utazua kero nyingine+mafarakano zaidi!
 
Makanisa VS Misikiti.........kazi kweli kweli???? :A S 39:
 
Na wewe umesha tolewa mapepo mangapi?

Sasa rudi kwenye mada, kwanini mnasumbuwa watu alfajir? Hivi hamwezi kujiamsha wenyewe mpaka kulazimishana tuuuu, tena kwa matarumbeta? Swaallaaaaaaaa? Yakh, Hivi huyo alla wenu mbona ni shari kila kona?

......... mada ni kuamshwa asubuhi na mapema! ............... je anaekuzuia kulala kaabisa huyo nae vp !? MAX una nongwa mpaka logic huzioni !
 
Ndo maana nimeleta ombi hapa kujua kama kuna suruhu ya kisheria wewe inaonyesha ni mdandia mada

................... nimedandia ili nipate ufumbuzi wa shida inayo fanana na yako, au unaona choyo !? :A S 39:
............... wewe unaamshwa mapema, sie hatulali kabisaaaa !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom