Kigezo cha jamaa kutoitwa huko haina maana kuwa yeye hana sifa, kwanza kuna mapungufu kadhaa kwenye enrollment yao.Huna sifa, ungekuwa na sifa ungeshaitwa siku nyingi. Huombi bali wanakuteua wao. Wapo kila kona kusaka vipaji. Baadhi ni walimu shule za msingi,sekondari hadi vyuo vyote unavyovifahamu. Ila kuwatambua ndo kazi. Hata ujifanye unatabia nzuri, bongo kali,hupati nafasi hii hadi ukidhi vigezo wanatumia. Wengine ushakunywa nao na ni walevi wa kutosha, vichaa n.k. kwa ujumla no wataalamu hata kupanga ujambazi. Ukirogwa ujiunge umekwisha.
Na kuepuka upendeleo undugu undugu nk nchi nyingi zilizoendelea siku hizi wanatoa matangazo ya ajira za usalama wa taifa, hivyo wote wenye uwezo unaotakiwa wanaapply kwa uwazi zaidi na wanapitia vetting na process nyingine.