mwanamalundi90
Senior Member
- Jun 12, 2016
- 177
- 137
- Thread starter
- #161
Mm ni mtanzania.HABARI KIONGOZI WW UTAKUWA MKURYA....SASA UKIPATA NA MIMI NIUNGANISHE NAO MANA UZALENDO WANGU HAUNA CHEMBE YOYOTE YA UKAKASI.
Nipo tayariUnapenda kuwa usalama!
1.Upo tayari kutengeneza kesi ili ufungwe gerezani kifungo kisichopungua miezi 6 katika kufanikisha ukusanyaji wa taarifa mbali mbali zinazohitajika?
2.Upo tayari hata ku fake death(kuigiza kifo) na kuachana na ndugu, jamaa, familia na marafiki zako wote katika maisha yako yote?
3. Upo tayari kumtesa au hata kuua mtu wa familia yako endapo kuna ulazima wa kufanya hivyo?
4. Unao ujasiri waku execute au kujua execution na kutunza siri hadi unaingia kaburini?
5. Upo tayari kufa kwa namna yoyote ile...iwe kwakujipiga risasi, kupambana na adui au kuteswa ukilazimishwa kutoa taarifa fulani na usiitoe hadi kufa kwa mateso?
6. Unawezakuigiza ukichaa kwa miezi mitatu? Ule na kulala jalalani, sokoni au stand? Uvae ovyo na uache kuoga miezi kadhaa?
7. Unawezaku kulala na mtu hatari, tena asiye mpenzi wako ili kutimiza adhma yako ya kupata taarifa? Mfano Drug dealer, gaidi, kahaba etc?
8.
9.
.
18. Upo tayari kula kiapo cha moto?
Jiulize na ujijibu kwanza hayo machache toka moyoni, kisha utapata picha halisi ya nini unachokitaka.
Sent using Jamii Forums mobile app

Inasemekana ukiwa na siri nyingi moyoni bila kuzitapika , Kuna uwezekano wa saikolojia kuathirika . Kuna ukweli wowote ktk hili ?Hivi mkuu kiwango chako cha kuhifadhi siri kikoje? Nikiwa namaanisha kwamba mtu akupe safari nane upige zote na USIROPOKE CHOCHOTE. Na kama huna vumilia tu na uendelee kumwomba mungu ili UINGIE KWENYE 18 za na hapo kuna mawili, mosi kama mtuhumiwa wa tukio fulani lakini pili kama mwajiriwa.