Nataka kuwa mwana usalama wa Taifa

Nataka kuwa mwana usalama wa Taifa

Nitawatafuta mkuu.

Ila kuhusu swal lako la kwann napenda kujiunga TISS?
Napenda kujiunga kwa sababu naipenda hii kazi na naipenda nchi yangu pia.
Kuhusi mtu anaenivutia kwa hapa Tz (anaefanya usalama) sina. Ila navutiwa na mshilika humu ndan The bold kutokana na stori zake na maelezo ma ufafanuzi wake kuhusu maswala ya usalama na protokal mbali mbali za mambo hayo.

Kuhusu swal lako la kwann siipend kaz yangu nlionayo na nnataka kuwa TISS?
Nipo tayali kufanya kazi ya usalama hata bila malipo yoyote,ili mladi tu waniruhusu niendelee na mishe zangu ama ajira nilionayo ili nipate mkate wa kila siku
Kuipenda nchi yako sio lazma uwe TISS, unaweza kuwa hata mwalimu au polisi kijana,
 
Toka nikiwa mdogo nilikuwa mkakamavu sana ,na nilitaka nifanye kazi ya ukakamavu na ya kujitoa.

Lakini pia watu hawa huwa wananifurahisha kwanza utunzajibwao wa siri na kujitoa kwa ajili ya watu wachache ,napenda sana kujitoa kwa ajili ya wanzangu ilo ili wawe salama.
Vizuri, unaweza pia kujitoa kuwa mwalimu ili kuwafundisha watoto wa Watanzania wenzako au kuwa polisi kuwalinda raia na mali zao!!

Kujitoa sio lazma TISS tu kijana!
 
Vizuri, unaweza pia kujitoa kuwa mwalimu ili kuwafundisha watoto wa Watanzania wenzako au kuwa polisi kuwalinda raia na mali zao!!

Kujitoa sio lazma TISS tu kijana!
Siwez kuwa polisi maishani mwangu bora niwe fundi viatu.

Pia kitu kilichopo moyoni ni tofauti na cha kufanya bila ya kuwa na mapenzi kwenye hiyo kazi.
 
Habarini wakuu.

Mimi ni memba mpya(kwenye kuanzisha uzi) ila ni memba wa muda kama shabiki wa JF.
Huu ni uzi wangu wa kwanza kuuanzisha(mnisamehe kama kuna mahali nitakosea)

Turudi kwenye maada..

Siku nyingi(kabla sijawa memba wa jf) nimekuwa nikifuatilia sana masuala mazima ya kiusalama kupitia movie na magazeti,na baada ya kupakua app ya JF nilikutana na maada mbal mbal zinazohusu maswala mazima ama story zinazohusu usalama.

Baada ya kuendelea kufuatilia na kusoma kila nnachokutana nacho na kinahusu usalama,niliweza kufunguka kiakili na kimawazo kuhusu swala zima la usalama.

Miongon mwa vitu vilivyonifungua akili ni pamoja ya namna hawa watu(mashushushu) wanavyopatikana,ikiwa ni pamoja na mashulen na kupitia vyombo mbal mbal vya usalama kama JKT n.k

Baada ya kuwa nimefunguka kiakili kuhusu jambo hili ,nilikata tamaa na kuona siwez tena kuwa shushushu kwa sababu sipo shule,na siwez tena kwenda JKT kwa maana umri umeshaenda(nna miaka 27 na elimu yangu ni kidato cha 4).

Lakini nilijipa moyo na sikujidekeza kwa kuendelea kukata tamaa,na badala yake niliendela kufuatilia maada mbali mbali na historia mbali mbali za kijasusi kupitia hapa hapa JF kama maada za mkuu The bold na za watu wengine wengi.

Sasa bas leo nimeamua kuvunja ukimya na kuamua kuja kwenu wana jamvi na kuwaomba msaada wa kimawazo na ushauri wa nn nifanye ama nn nifuate ili niweze kuwa miongoni mwa hawa watu wa usalama(TISS) ama kama kuna kikosi kingine cha kiusalama. Nikimaanisha nitaingia vipi ndani ya 18 ya hawa jamaa ili wanichukue na mm?

Nafahamu kuwa ni ishu ya siri na ni ishu ambayo sio ya kuweka hadharan,kama kuna mambo ya hadharan mtanipatia,na kama kuna ushauri wa sir bas hata PM nitaupokea pia.

Mm ni mzarendo na ninafaham hii kazi inahitaji moyo na unahitaji uzarendo pia,katika hili hakuna shida.

Naipenda nchi yangu TANZANIA na nipo tayal kuitumikia kwa moyo wangu wote na kwa nguvu zangu zote.

Nawasilisha hoja,naombeni msaada wenu.
Na naomba radhi sehemu yeyote nitakayokuwa nimekosea.
Unajua nini mjomba?
Hiyo kazi ni ya kishetani zaidi.
 
ngoja tuanze kukufuatilia kwanza historia yako.....[emoji19] [emoji19] ...!!..mpaka umejiwa na wazo la kuisaidia nchi yako ktk masuala ya kiusalama.......
 
Habarini wakuu.

Mimi ni memba mpya(kwenye kuanzisha uzi) ila ni memba wa muda kama shabiki wa JF.
Huu ni uzi wangu wa kwanza kuuanzisha(mnisamehe kama kuna mahali nitakosea)

Turudi kwenye maada..

Siku nyingi(kabla sijawa memba wa jf) nimekuwa nikifuatilia sana masuala mazima ya kiusalama kupitia movie na magazeti,na baada ya kupakua app ya JF nilikutana na maada mbal mbal zinazohusu maswala mazima ama story zinazohusu usalama.

Baada ya kuendelea kufuatilia na kusoma kila nnachokutana nacho na kinahusu usalama,niliweza kufunguka kiakili na kimawazo kuhusu swala zima la usalama.

Miongon mwa vitu vilivyonifungua akili ni pamoja ya namna hawa watu(mashushushu) wanavyopatikana,ikiwa ni pamoja na mashulen na kupitia vyombo mbal mbal vya usalama kama JKT n.k

Baada ya kuwa nimefunguka kiakili kuhusu jambo hili ,nilikata tamaa na kuona siwez tena kuwa shushushu kwa sababu sipo shule,na siwez tena kwenda JKT kwa maana umri umeshaenda(nna miaka 27 na elimu yangu ni kidato cha 4).

Lakini nilijipa moyo na sikujidekeza kwa kuendelea kukata tamaa,na badala yake niliendela kufuatilia maada mbali mbali na historia mbali mbali za kijasusi kupitia hapa hapa JF kama maada za mkuu The bold na za watu wengine wengi.

Sasa bas leo nimeamua kuvunja ukimya na kuamua kuja kwenu wana jamvi na kuwaomba msaada wa kimawazo na ushauri wa nn nifanye ama nn nifuate ili niweze kuwa miongoni mwa hawa watu wa usalama(TISS) ama kama kuna kikosi kingine cha kiusalama. Nikimaanisha nitaingia vipi ndani ya 18 ya hawa jamaa ili wanichukue na mm?

Nafahamu kuwa ni ishu ya siri na ni ishu ambayo sio ya kuweka hadharan,kama kuna mambo ya hadharan mtanipatia,na kama kuna ushauri wa sir bas hata PM nitaupokea pia.

Mm ni mzarendo na ninafaham hii kazi inahitaji moyo na unahitaji uzarendo pia,katika hili hakuna shida.

Naipenda nchi yangu TANZANIA na nipo tayal kuitumikia kwa moyo wangu wote na kwa nguvu zangu zote.

Nawasilisha hoja,naombeni msaada wenu.
Na naomba radhi sehemu yeyote nitakayokuwa nimekosea.
Huna sifa, ungekuwa na sifa ungeshaitwa siku nyingi. Huombi bali wanakuteua wao. Wapo kila kona kusaka vipaji. Baadhi ni walimu shule za msingi,sekondari hadi vyuo vyote unavyovifahamu. Ila kuwatambua ndo kazi. Hata ujifanye unatabia nzuri, bongo kali,hupati nafasi hii hadi ukidhi vigezo wanatumia. Wengine ushakunywa nao na ni walevi wa kutosha, vichaa n.k. kwa ujumla no wataalamu hata kupanga ujambazi. Ukirogwa ujiunge umekwisha.
 
Tengeneza counterintelligence agency yako ujiajiri, labda unaweza kuwa Private Inspector Sherlock Holmes wa karne hii...au Joram Kiango.

Kuwa shushu ni zaidi ya kuwa na shauku kuajiriwa TISS, hii zaidi ipo katika character yako na maisha ya kila siku. Kamsome mtu anaitwa Sherlock Holmes wikipedia despite ni myth lakini utapata picha. I know people who are interested too (me included) ingawa sina interest tena, ilifika wakati nilipenda niache shule niende usalama na meeting ikawa arranged but my relative wakanishauri sana niache nikawasikiliza.

Kama waliochangia wengine, hii kazi ni ya kimatabaka zaidi. Mara chache sana wanachukua watu outside their cycle (relatives) ingawa nafasi ipo, inabid uwe distinctive in certain spheres maana kuna test huwa lazima ufanye wakati wa enrolment.

Bottom line: Kama kweli una moto ndani yako (desire) usiuache uzime, jipime pia unaweza kuwa unapenda kitu ila huwezi. Sio lazima uwe na elimu ya juu, tafiti zinaonyesha watu wenye akili sana huwa hawamalizi project wanayofanya ikiwa inatumia muda mrefu sana, mfano mzuri ni Edward Snowden kila aliefanya nae kazi anadai ni "genius among geniuses" lakini hajawai kupata degree wala masters maana alikua akiaanza kusoma ikifika katikati anaacha pia kuna majimbo marekani hayaajiri mtu mwenye IQ zaid ya 135 kitengo cha polisi kwasababu wana matatizo ya "concentration"- hawawezi kufanya kitu kimoja kwa muda mrefu.

Asante
Good Advice Alpha nifate
 
Natafuta vijana Kama nyiny tuunde kitengo binafsi kwaajili ya ushushushu, hii inakuwa n NGO kwa ajili ya usalama wa watu binafsi..!
Hiyo kitu wanafanya nje ya nchi lakn sio kwetu tz or Africa wana private investigation kwa matukio mbali mbali
 
Back
Top Bottom