mwanamalundi90
Senior Member
- Jun 12, 2016
- 177
- 137
- Thread starter
- #101
Kwann sasa mkuu sifai.?Wewe hata kuwa usalama wa mtaa hufai kalime tu tafadhali.
Je sina sifa za kuww,ama nn shida?
Kwann sasa mkuu sifai.?Wewe hata kuwa usalama wa mtaa hufai kalime tu tafadhali.
Mkuu sikukatishi tamaa but asuredly I tell you the truth you won't get that at this time and forth unless your kid comes to accomplish your dream.Kwann sasa mkuu sifai.?
Je sina sifa za kuww,ama nn shida?
Teh tehe..!Tukutane Nyerere bridge saa 23:17 tarehe kama hii mwezi ujao.
Naomba ufafanuzi ndugu umeniacha mbaliMkuu sikukatishi tamaa but asuredly I tell you the truth you won't get that at this time and forth unless your kid comes to accomplish your dream.
Vinginevyo muda huu uwe ulaya, marekani ama Asia specifically China ukisomea kitu fulani iwe lugha ama engineering na uwe uliaga kweli nyumbani nyumba nzima tukatambua mwanetu mmoja ako say london kwenye aviation college akitafuta kitabu. yuko njema na tunamlipia michango ya wanafamilia kama ada.
NB. ukielewa maana ya familia it's good for u.
Be serious ManNenda Horohoro Tanga,ingia bar agiza bia halafu uulize nani usalama wa taifa hapa? Wanausalama wetu wakilewa wanasema, akijitokeza muulize namna ya kuingia atakuambia.
Nilitaka uelewe kwamba usalama wa taifa siyo kama kazi ya Gereji ambayo utakuta kwenye zoom au kwenye gazeti. Hii ina include vitu vingi sana, at all, vetting ndiyo itakufanya u qualify au otherwise,Be serious Man
Hakukuwa na ulazima wa kuweka post yako kama hukuwa na kitu sensible cha kusemaMfate baba ako chatu hukoo Geita sijui, mwambie umbea wote wa JF unapata ushushushu kama wenzio wanao kesha Jf kuwinda binadam wenzao.
Mfate baba ako chatu hukoo Geita sijui, mwambie umbea wote wa JF unapata ushushushu kama wenzio wanao kesha Jf kuwinda binadam wenzao.
Kama umefurahishwa na comment ya kijinga hivyo, sidhani kama unafaa hiyo kazi (hayo ni mawazo yangu binafsi).Ha ha haaaaa umenifurahisha sana mkuu. Nitamfata Shinyanga asee
Interesting ... The idea was rolling in my mind from years back ila Nadhani ni ngumu kupata Nafasi.Tengeneza counterintelligence agency yako ujiajiri, labda unaweza kuwa Private Inspector Sherlock Holmes wa karne hii...au Joram Kiango.
Kuwa shushu ni zaidi ya kuwa na shauku kuajiriwa TISS, hii zaidi ipo katika character yako na maisha ya kila siku. Kamsome mtu anaitwa Sherlock Holmes wikipedia despite ni myth lakini utapata picha. I know people who are interested too (me included) ingawa sina interest tena, ilifika wakati nilipenda niache shule niende usalama na meeting ikawa arranged but my relative wakanishauri sana niache nikawasikiliza.
Kama waliochangia wengine, hii kazi ni ya kimatabaka zaidi. Mara chache sana wanachukua watu outside their cycle (relatives) ingawa nafasi ipo, inabid uwe distinctive in certain spheres maana kuna test huwa lazima ufanye wakati wa enrolment.
Bottom line: Kama kweli una moto ndani yako (desire) usiuache uzime, jipime pia unaweza kuwa unapenda kitu ila huwezi. Sio lazima uwe na elimu ya juu, tafiti zinaonyesha watu wenye akili sana huwa hawamalizi project wanayofanya ikiwa inatumia muda mrefu sana, mfano mzuri ni Edward Snowden kila aliefanya nae kazi anadai ni "genius among geniuses" lakini hajawai kupata degree wala masters maana alikua akiaanza kusoma ikifika katikati anaacha pia kuna majimbo marekani hayaajiri mtu mwenye IQ zaid ya 135 kitengo cha polisi kwasababu wana matatizo ya "concentration"- hawawezi kufanya kitu kimoja kwa muda mrefu.
Asante
Sawa mkuu kwa hyo tuseme ni bahati tu ikudondokee no need to fight forNilitaka uelewe kwamba usalama wa taifa siyo kama kazi ya Gereji ambayo utakuta kwenye zoom au kwenye gazeti. Hii ina include vitu vingi sana, at all, vetting ndiyo itakufanya u qualify au otherwise,
KWA UFUPI, HII KAZI INATAFUTA MTU, HAITAFUTWI, USIJIHANGAISHE KUITAFUTA UNAPOTEZA MDA,
Kanyweni maji
Ndiyooooooooooo! (in MPs' voice)Sawa mkuu kwa hyo tuseme ni bahati tu ikudondokee no need to fight for
Hivi mkuu kiwango chako cha kuhifadhi siri kikoje? Nikiwa namaanisha kwamba mtu akupe safari nane upige zote na USIROPOKE CHOCHOTE. Na kama huna vumilia tu na uendelee kumwomba mungu ili UINGIE KWENYE 18 za na hapo kuna mawili, mosi kama mtuhumiwa wa tukio fulani lakini pili kama mwajiriwa.Habarini wakuu.
Mimi ni memba mpya(kwenye kuanzisha uzi) ila ni memba wa muda kama shabiki wa JF.
Huu ni uzi wangu wa kwanza kuuanzisha(mnisamehe kama kuna mahali nitakosea)
Turudi kwenye maada..
Siku nyingi(kabla sijawa memba wa jf) nimekuwa nikifuatilia sana masuala mazima ya kiusalama kupitia movie na magazeti,na baada ya kupakua app ya JF nilikutana na maada mbal mbal zinazohusu maswala mazima ama story zinazohusu usalama.
Baada ya kuendelea kufuatilia na kusoma kila nnachokutana nacho na kinahusu usalama,niliweza kufunguka kiakili na kimawazo kuhusu swala zima la usalama.
Miongon mwa vitu vilivyonifungua akili ni pamoja ya namna hawa watu(mashushushu) wanavyopatikana,ikiwa ni pamoja na mashulen na kupitia vyombo mbal mbal vya usalama kama JKT n.k
Baada ya kuwa nimefunguka kiakili kuhusu jambo hili ,nilikata tamaa na kuona siwez tena kuwa shushushu kwa sababu sipo shule,na siwez tena kwenda JKT kwa maana umri umeshaenda(nna miaka 27 na elimu yangu ni kidato cha 4).
Lakini nilijipa moyo na sikujidekeza kwa kuendelea kukata tamaa,na badala yake niliendela kufuatilia maada mbali mbali na historia mbali mbali za kijasusi kupitia hapa hapa JF kama maada za mkuu The bold na za watu wengine wengi.
Sasa bas leo nimeamua kuvunja ukimya na kuamua kuja kwenu wana jamvi na kuwaomba msaada wa kimawazo na ushauri wa nn nifanye ama nn nifuate ili niweze kuwa miongoni mwa hawa watu wa usalama(TISS) ama kama kuna kikosi kingine cha kiusalama. Nikimaanisha nitaingia vipi ndani ya 18 ya hawa jamaa ili wanichukue na mm?
Nafahamu kuwa ni ishu ya siri na ni ishu ambayo sio ya kuweka hadharan,kama kuna mambo ya hadharan mtanipatia,na kama kuna ushauri wa sir bas hata PM nitaupokea pia.
Mm ni mzarendo na ninafaham hii kazi inahitaji moyo na unahitaji uzarendo pia,katika hili hakuna shida.
Naipenda nchi yangu TANZANIA na nipo tayal kuitumikia kwa moyo wangu wote na kwa nguvu zangu zote.
Nawasilisha hoja,naombeni msaada wenu.
Na naomba radhi sehemu yeyote nitakayokuwa nimekosea.
Nimecheka sanaUmetumwa?
Waliopo wanatamani watoke, ambao hawapo wanatamani kuingia.Wanadai ni kazi nzuri sna