Nataka kuwa mwana usalama wa Taifa

Nataka kuwa mwana usalama wa Taifa

Kazi hizo ni za kurithishana kama katika Ukoo wenu hajawahi Kutokea ni kazi wewe kupata hiyo kazi kwani hata nafasi zake hutoka kwa siri.

Pia nadhani wenyewe ndo huwa wanataka watu na si wewe kuwataka.
Daaaah!!! Nazidi kukata tamaa
 
Dah. .hapo ulipo tu ni mwanausalama wa taifa..."Kila mtanzania mwenye nia njema na taifa hili ni mwanausalama wa taifa ...fichua wala rushwa, wazembe na wezi wa mali ya umma "... By mwl JKN

[emoji13] [emoji13]
Hizo taarifa nitakazofuchua nazipeleka kwa nani? Na je usalama wangu unakuwa salama kiasi gani mara baada ya kuripoti hayo mambo.
 
"Haikuitaji ujuzi Sana. Alijipiga risasi ya kichwa mwenyewe, aliuonyesha uzalendo Wake machoni kwa maadui"
 
Bila shaka wanakusikia wenyewe who knows huenda wakakutafuta
 
Tengeneza counterintelligence agency yako ujiajiri, labda unaweza kuwa Private Inspector Sherlock Holmes wa karne hii...au Joram Kiango.

Kuwa shushu ni zaidi ya kuwa na shauku kuajiriwa TISS, hii zaidi ipo katika character yako na maisha ya kila siku. Kamsome mtu anaitwa Sherlock Holmes wikipedia despite ni myth lakini utapata picha. I know people who are interested too (me included) ingawa sina interest tena, ilifika wakati nilipenda niache shule niende usalama na meeting ikawa arranged but my relative wakanishauri sana niache nikawasikiliza.

Kama waliochangia wengine, hii kazi ni ya kimatabaka zaidi. Mara chache sana wanachukua watu outside their cycle (relatives) ingawa nafasi ipo, inabid uwe distinctive in certain spheres maana kuna test huwa lazima ufanye wakati wa enrolment.

Bottom line: Kama kweli una moto ndani yako (desire) usiuache uzime, jipime pia unaweza kuwa unapenda kitu ila huwezi. Sio lazima uwe na elimu ya juu, tafiti zinaonyesha watu wenye akili sana huwa hawamalizi project wanayofanya ikiwa inatumia muda mrefu sana, mfano mzuri ni Edward Snowden kila aliefanya nae kazi anadai ni "genius among geniuses" lakini hajawai kupata degree wala masters maana alikua akiaanza kusoma ikifika katikati anaacha pia kuna majimbo marekani hayaajiri mtu mwenye IQ zaid ya 135 kitengo cha polisi kwasababu wana matatizo ya "concentration"- hawawezi kufanya kitu kimoja kwa muda mrefu.

Asante
 
Kazi hizo ni za kurithishana kama katika Ukoo wenu hajawahi Kutokea ni kazi wewe kupata hiyo kazi kwani hata nafasi zake hutoka kwa siri.

Pia nadhani wenyewe ndo huwa wanataka watu na si wewe kuwataka.
Intelligence Communities za wenzetu wameshafikia mahali recruitment process inahusisha kutangaza na watu kuommba.Hapa kwetu labda mazingira na tamaduni zinawaogofya.Kimsingi usiri unatokana na kwamba ukusanyaji wa taarifa linapaswa liwe jambo la siri na hivi wakusanyaji wakijulikana basi sources za taarifa itakuwa shida.Hata hivyo tunakoelekea mfumo wa hapa kwetu unaweza kuwa kama wa wenzetu.Taarifa nyingi zitapatikana kupitia TEHAMA na hivi mkusanyaji hata kama unamjua bado hiyo haimuzuii mtu kupata taarifa.
 
Tengeneza counterintelligence agency yako ujiajiri, labda unaweza kuwa Private Inspector Sherlock Holmes wa karne hii...au Joram Kiango.

Kuwa shushu ni zaidi ya kuwa na shauku kuajiriwa TISS, hii zaidi ipo katika character yako na maisha ya kila siku. Kamsome mtu anaitwa Sherlock Holmes wikipedia despite ni myth lakini utapata picha. I know people who are interested too (me included) ingawa sina interest tena, ilifika wakati nilipenda niache shule niende usalama na meeting ikawa arranged but my relative wakanishauri sana niache nikawasikiliza.

Kama waliochangia wengine, hii kazi ni ya kimatabaka zaidi. Mara chache sana wanachukua watu outside their cycle (relatives) ingawa nafasi ipo, inabid uwe distinctive in certain spheres maana kuna test huwa lazima ufanye wakati wa enrolment.

Bottom line: Kama kweli una moto ndani yako (desire) usiuache uzime, jipime pia unaweza kuwa unapenda kitu ila huwezi. Sio lazima uwe na elimu ya juu, tafiti zinaonyesha watu wenye akili sana huwa hawamalizi project wanayofanya ikiwa inatumia muda mrefu sana, mfano mzuri ni Edward Snowden kila aliefanya nae kazi anadai ni "genius among geniuses" lakini hajawai kupata degree wala masters maana alikua akiaanza kusoma ikifika katikati anaacha pia kuna majimbo marekani hayaajiri mtu mwenye IQ zaid ya 135 kitengo cha polisi kwasababu wana matatizo ya "concentration"- hawawezi kufanya kitu kimoja kwa muda mrefu.

Asante
Asante mkuu. Nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Kazi hizo ni za kurithishana kama katika Ukoo wenu hajawahi Kutokea ni kazi wewe kupata hiyo kazi kwani hata nafasi zake hutoka kwa siri.

Pia nadhani wenyewe ndo huwa wanataka watu na si wewe kuwataka.
Ukweli mtupuuuuuuuu......
 
Back
Top Bottom