nataka kutoa Like maalum

Kuna watu wanakupa "like" ikishapita siku mbili tatu mbele anaanza ku "unlike" hasa kwa watu dhaifu kama sisi tusio na majina makubwa.
Sioni maana yoyote kutoa "like" kwa mtu bahada ya muda unaanza ku "unlike" kimya kimya ni ulimbukeni au!?
 
Jamani Smiling Saint....huwezi ukanipa japo nafasi ya upendeleo dear?? Kipipi won't let you stop smiling......this I promise you!!!
 
Kuna watu wanakupa "like" ikishapita siku mbili tatu mbele anaanza ku "unlike" hasa kwa watu dhaifu kama sisi tusio na majina makubwa.
Sioni maana yoyote kutoa "like" kwa mtu bahada ya muda unaanza ku "unlike" kimya kimya ni ulimbukeni au!?

Michael jamani.......udhaifu na kutokuwa na jina kubwa, ni vitu viwili tofauti, hivyo basi hata hao wenye majina makubwa wanaweza kuwa dhaifu pia!!!
 
Back
Top Bottom