nataka kutoa Like maalum

mshindi alikuwa ni nani,
kwani nimekaa kwenye simu muda mrefu
mambo mengi yalinipita.

Kalikuwepo ka-binti kalinibembeleza saaaana hadi nikakapa!! Kanaitwa Kipipi... ukikaona kasalimie!
 
kipipi mchoyo hata kunipa nusu like wakati, hayo maneno alidesa kwenye pm yangu.


ah ah aha h aa ahhah sasa tufanyeje?? ndio alishaichukua!! japo toka nimpe like sijamuona kabisa hapa!!
 
Wakuu sisi tunaotumia Jamii Forums through mobile phone tumenyimwa haki ya ku-LIKE. Moderators hebu na sisi tufungulieni hii fulsa.
 
Back
Top Bottom