Nataka kuoa Mpare kutoka Same, msaada kwa wanaojua tabia zao

Status
Not open for further replies.
bid2015, Hunataka kujua Mira na tamaduni zao? Ninavyo jua Mimi kila binadam tunabia zisizo fanana na wewe unaponae huyo mpenzi wako fanya kuchunguza kujua tabia yake kama mlevi, mchoyo, hapendi watuwengi kwenye maisha ya nyumban, siyo miongeaji, je siyo mtu mwenye tamaa, muhongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
oa tu kila la kheri
lakini jiandae kugombana na ndugu zako kwani wanatabia ya kuchukia upande wa kiumeni for nothing
na pia wana maneno sana na hupenda hata kukusema akiwa na ndugu zake au hao anaowaita wajomba
au shangazi. tafuta alie owa mpare upate uthibitisho zaidi.
labda hao waliozaliwa mjini anaweza kuwa mzuri
urewediiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
yap hapo nakubaliana na wewe wana ukabila sana especially dini yangu mm wapare wengi sana ,mm pia naoa upareni very soon lakini nimeshia chora lines inategemea na wewe unavyo handle mambo yako kwa mwanamke msomi haina shida
 
ukioa/ukiolewa na mkurya jiandae kupigwa/kupigana (japo si wote). wapare uchoyo,ubahili,ubaguzi (japo si wote) wengi wao
duu kwahiyo sisi wakurya ni wapigaji sana inategemeana na mtu mm ni mkurya pure ,kupitia my dady sijawahi ona hata siku moja akimpiga mama
 
Basi nenda kaoe mwanamke wa Machame.
Kwa sababu wadau wamekuambia kuwa mpare msichana ukimnunulia bia unamla. Maana yake wapare wote walevi. (Pathetic idea)

Mdau wewe nenda kaoe msichana wa machame kwetu. Ukimnunulia bia hakupi k kama wapare, sio wachoyo, ndugu hawatakutembelea, kw sababu moja jamboa wanalolalamika waha wenzako hapo juu ni kuwa ndugu watakutembelea jambo ambalo wadau wanaona ni kosa.
Ila ukiangalia kiundani utakuta wah wenyewe wanajazana kwenye chumba kimoja kama wamalawi tu.

Basi kaoe mchaga.
Baadae ulete mrejesho
 
Ukioa mpare umeoa ukoo mzima.dada kaka mjomba na nk hawatakosekana nyumbani.wageni kutoka paris(aka pare)hapo ndo patakuwa pa kufikia wakija kutafuta maisha
Sio kweli mimi nimeoa mpare hayo mambo sijashuhudia msipende kuchafua watu bila sababu
 
Ukioa mpare umeoa ukoo mzima.dada kaka mjomba na nk hawatakosekana nyumbani.wageni kutoka paris(aka pare)hapo ndo patakuwa pa kufikia wakija kutafuta maisha

wakuu, tusibebe historia, maisha huwa yanabadilika. Binadamu wanatofautiana. Tusikariri vitu tukaacha mwenzetu akashindwa kumwoa asali wa moyo wake. kauli kama hizi hazina uhalisia
 
Wewe mchunguze mwenzio, ukimwangalia kwa haraka haraka tayari unaweza kupata picha kwamba maisha yataenda ama la, ukilinganisha wewe umeshakaa naye kwa muda, hivyo baadhi ya tabia za kawaida za mwanamke bora tayari unaona anazo kwa asilimia kadhaa, si lazima awe nazo zote, ni nadra kupata vyote wakati wa kuanza, kuna wengine wanaelekezeka na wancopy na mazingira waliyokuta na mtu waliekutana naye. Kwa hiyo kuna vitu kwa sasa haqualify ila baada ya ndoa anaanza kurekebika taratibu.

Kuna watu wanabebana na historia za huko nyuma ambazo waliwahi kusikia toka kwa wazazi wao, wanadhani bado watu wako vile vile. Binafsi nina rafiki yangu wa kwaribu kaoa mpare na wanaishi vizuri tu. Hivyo basi tabia ya mtu haitokani na kabila, bali mtu mwenyewe na mazingira aliyolelewa.

Niseme tu, mimi sio mpare ila ninawafahamu kwa kiasi fulani plus experience. Vitu vingine ni unique sana baina ya mtu na mtu.

Ahsante
 
Mimi mwenyewe nasubiri Mrejesho labda tumfuate PM [emoji23]
Vip Mtua mada ulioa Au walikuteka wakakunyonga maana tangu 2013 hadi Leo mtakua na vitoto vitatu hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza kuungana mawazo na wanaosema mabinti wa kipare ni tatizo.

Najua kwa karne tuliyopo kujadili mwenendo wa tabia za makabila ni kama jambo la ajabu, ila kuna ukweli ndani yake.

Mimi binafsi nimeshawahi kuwa na mahusiano na binti wa kipare. Aisee nikashuhudia tabia za ajabu ambazo sikuwahi kudhani kuna watu wanazo. Wazazi wa huyu binti hawapo pamoja, mama yake ameolewa na mwanaume mwingine na baba yake yupo nje ya nchi. Miongoni mwa mambo ya ajabu nilishuhudia ni kama ifuatavyo:

1. Baba wa huyu binti alikuwa akija Tanzania binti alikuwa anakwenda kusalimia hapo hotelini anapofikia na huwa anaweza kulala hapo. Hii kitu nilipokuwa namuhoji kuwa inakuwaje wewe na baba yako ukalale nae chumba kimoja, akawa anajibu kuwa yule si baba yangu sasa shida ipo wapi. Hili jibu lilinistaajabisha sana, na niliona ni kioja cha mwaka.

Kimsingi yeye alikuwa haoni shida ipo wapi. Ila mimi nikaanza mtoa maksi taratibu.

2. Anapenda kuchat na wanaume na chatting zake ni zenye muendelezo ambao si wa kistaarabu. Kama kuna kipindi alikuja kunitembelea mkoani. Nilimpatia namba ya utingo wa basi ninalopenda kupanda ili ampatie tiketi na siti nzuri.

Cha ajabu nilikuja kukuta baadae kwenye simu yake anachat na yule utingo mambo ambayo hayakuwa na mahusiano na biashara wala usafiri. Walikuwa wakizungumza mambo ya kifamilia as if wanajuana kwa muda mrefu sana. Hii ni mfano m'moja tu, ila mifano ipo mingi sana na hapo nilizidi kumshusha vyeo maana hana staha wala haiba ya kike yenye adabu ya mipaka.

3. Alikuwa hana mipaka katika kutaka kudadisi kiundani maisha yangu kwa maana ya upande wa kipato na utafutaji jambo ambalo si kawaida kwa mwanamke mwenye staha. Mwanzo nilihisi labda ni kawaida mwanamke anakupa moyo wa kutafuta, ila siku zinavyokwenda ndipo nikaona kuwa hapana, ni mwanamke ambae anataka nikadiria kuwa nini napata na kiwango gani.

4. Niligundua yeye na mama yake wanashare story nyingi na zingine ni za kuvuka mipaka. Mama mzazi unakaaje na binti yako kumuongelea baba mlezi, juu ya maswala ya migegedo. Au fumanizi ambazo mama amembamba mzee..... Hapa tena taa nyekundu iliwaka. Mama na binti hawana mipaka ya malezi.

5. Mama mtu ana watoto watano, kila mtoto ana baba yake..... Hii pia ilinipa taa nyekundu. Watoto hufuata nyayo z wazazi kwa kuiga na sio kusikiliza yanayofanyika. Kwahiyo ni dhahiri huyu binti alikuwa anakuja kuniharibia matarijio yangu ya kuwa na familia ya baba na mama m'moja.

6. Mama mtu, alikuwa na kawaida ya kukutana na baba wa yule binti anapokuwa inchini kutoka nje ya nchi. Muda mwingine huyu binti alikuwa ananiambia amewaacha baba yake mzazi na mama yake chumba cha hoteli wanaongea. Hii ilinishtua sana ukizingatia huyu mama kwasasa ni mke wa mtu hivyo hatakiwi kuwa faragha na mzazi mwenzake wa awali ambae walishaachana. Na pia binti anayaona yote wadhani anajifunza nini hapo.... Hii ilininipa mashaka sana.

7. Binti kila tukiongea kuhusu kuanza maisha, alikuwa ana insist tupate nyumba kubwa, jambo ambalo nilimwambia kuwa sisi bado vijana wadogo na ndio tunaanza, so nyumba kubwa kuimudu itatukamua pesa, tuanze kidogo kidogo kwa nyumba ya chumba na sebule then tufafika tu nyumba kubwa. Kumbe lengo ni kuja kuwawekea wadogo na ndugu zake n kambi. Hii sikumuunga mkono maana mimi sikutazamia kuanza maisha na watu wengine bali ni mama na yeye. Hakupenda hii kitu.

8. Nilinotice kuwa huyu binti na mama yake walikuwa na mazungumzo ya waganga wa kienyeji. Hii inaaishiria kuwa mama na binti wanashiriki mambo ya kishirkina jambo ambalo ninalichukia sana.

9. Pia mama alikuwa akimdadisi sana binti yake juu ya hali yetu ya familia kiuchumi na mali za familia.

Hivi na vingine vingi vilinifanya kuamini maneno ya wenzangu wanaokiri kuwa wanawake wa kipare hawafai.

Tatizo ilo, apo umewashiwa taa ya njano stay alert

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom