hapa atakutana na box za kufa mtu
mhh labda
sasa njia pandaJapo kabila la mtu halina nafasi kwenye mapenzi lakin zipo tabia za kurithi banah tusidanganyane! kama za wakurya kupiga
Wee acha mzaha ni watu wa kwenda kwa wachawi sana
duh sasa hapa niko njia pandaukioa/ukiolewa na mkurya jiandae kupigwa/kupigana (japo si wote). wapare uchoyo,ubahili,ubaguzi (japo si wote) wengi wao
Wabahiriii,very selfish ,wanapenda vya bure,hasira Za haraka na wajuaji
Nitakujengeaje hoja wakati wewe mwenyewe huna hoja,wewe ni mufilisi tu,Nini wewe?jenga hoja acha ntalalira!
hii ni kweli kabisaLakini kaka!! mke mwema hutoka kwa Mungu!! hatoki upareni, ukuryani wala wapi!! omba mungu atakupa kama ni ubavu wako!!