Nataka kuoa Mpare kutoka Same, msaada kwa wanaojua tabia zao

Nataka kuoa Mpare kutoka Same, msaada kwa wanaojua tabia zao

Status
Not open for further replies.
Thithi wapare ni wadhuri wa sura,wapole,tunajituma katika kila nyanja!tunajua bajeting kulio therikali ya tanzania! We acha tu!ukimpata mpare,umelamba bingo!
 
oa tu kila la kheri
lakini jiandae kugombana na ndugu zako kwani wanatabia ya kuchukia upande wa kiumeni for nothing
na pia wana maneno sana na hupenda hata kukusema akiwa na ndugu zake au hao anaowaita wajomba
au shangazi. tafuta alie owa mpare upate uthibitisho zaidi.
labda hao waliozaliwa mjini anaweza kuwa mzuri
urewediiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
sasa wewe, ukiambiwa unamtindio wa ubongo utatokwapovu nakudai umetusiwa. Kaomba ushauri we unakuja na kiingereza chako cha kuombea maji kwa kumuuliza swali.
Kwakusaidia rudi tena shule huwenda ulikua unahesabu madarasa, na mwisho wa siku ukawa una

Na wewe huwenda ndo nini?
 
Kuzaliwa mjini na kijijini haibadilishi tabia ya m2.mchaga hata m2 akimuadopt akiwa mchanga tabia iko pale pale.kwa mpare hata akiolewa lazima avute wa2 wa upande wake.maamuzi ya kifamilia ni yeye na ndugu zake.kwenye nyumba unakuwa kama mgeni au house girl
 
Kabila halihusiani kwa namna yoyote na ndoa.Kila mtu,haijalishi anazaliwa familia,dini au kabila lipi,huwa na tabia zake.Hakuna tabia za kabila,dini au familia nzima. Ulichopendezwa nacho,endelea nacho.Waswahili walisema: bata ukimchunguza sana,hautamla
 
Mke si kabila, unaweza ukapata sifa za Wapare mpaka ukafurahi lakini kumbe yule uliemweka ndani asizifikie sasa utafanyeje? Muombe Mungu akupe mke mwema maana vitu vyote vizuri vinatoka kwa Bwana
 
oa tu kila la kheri
lakini jiandae kugombana na ndugu zako kwani wanatabia ya kuchukia upande wa kiumeni for nothing
na pia wana maneno sana na hupenda hata kukusema akiwa na ndugu zake au hao anaowaita wajomba
au shangazi. tafuta alie owa mpare upate uthibitisho zaidi.
labda hao waliozaliwa mjini anaweza kuwa mzuri
urewediiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Nmeliona hili,nakuunga mkono wana ubaguz km nin halafu wachoyo nduguzo wajiandae kupimiwa msosi,kwan siku zote wao ndo watawala!
Wanawaona km ndugu wa upande wa pili wachafu hivo uwatenga!
Tenga kabisa bajet za kwenda uparen december lkn kwenu sahau!
 
Jamani toeni ushauri,msishutumu kabila kwasababu ya tabia,hata hivyo sijaelewa kama umempenda yeye kwasababu ni mpare au unataka kujua tabia za wapare? In common nacholewa wanapenda kula makande,samaki..wana vithembe wakiongea kutokana na mother tongue yao af pia sijui ni wabahil...!
 
Nmeliona hili,nakuunga mkono wana ubaguz km nin halafu wachoyo nduguzo wajiandae kupimiwa msosi,kwan siku zote wao ndo watawala!
Wanawaona km ndugu wa upande wa pili wachafu hivo uwatenga!
Tenga kabisa bajet za kwenda uparen december lkn kwenu sahau!

december kwan wao ni wachagga? Acha kuongopa wewe..lol
 
Ningesema lakini ni shemeji zangu! so bora nikae kimya wasije kutunyang'anya mke! lakini..... LOKISSA na DISCPLINE true
 
walichosema lokissa na discpline ni chakweli tupu! Yaani wamemaliza kila kitu! anayebisha basi hawajui VIZURI wapare!!
 
Aisee mimi japo napenda sana kujenga ndoa za watu ila kwa mpare kimbia hadi miguu ivunjike sio wanume au wanawake,wana kitu inaitwa SIDE MEETING yaani hushirikishwi chochote katika mambo mengi,wengi wao are so selfish,wachoyo ukioa au kuolewa huko you have to forget ndugu zako,japo tunasema hii ni karne ya 26 mambo yamebadilika lakini sio kwa wapare historia hujirudia fuata moyo wako ila personally wapare nooooo!!!!!.mnisamehe wapere wote wa Jf.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom