Nataka kuoa Mpare kutoka Same, msaada kwa wanaojua tabia zao

Nataka kuoa Mpare kutoka Same, msaada kwa wanaojua tabia zao

Status
Not open for further replies.
Suala la ukabila ni suala binafsi.Inategemea wewe mwenyewe ulikuwa unavutiwa na kabila gani.Lakini kabila si kitu cha kuangalia sana kwani kila mtu ana tabia zake mwenyewe na hicho ndio cha muhimu
mm sina tatizo la ukabila
 
Ndugu nakuonya kwa unyenyekevu sana, kimble huko uendako siyo kwema. Hao watu yafaa waoane wenyewe kwa wenyewe. Wapare siyo jabila la kuoa au kuolewa nalo mtu baki. I know them very well. Kimbia tena bila kugeuka nyuma. Hawa watu huwa hawana dini kwa ndani mioyoni mwao japokuwa kwa nje hujionyesha hivyo. Ila kikubwa ni kwamba dhambi ya uzinzi wao wameihalalisha. Take my words brother from another mother.
duh hii ni noma
 
Jamani, we acha tu mimi sitii neno hapo maana inawezekana umeshajitambulisha na umeshaweka wazi kwa nduguzo na nduguze kwamba mwisho wa reli umehamia Same...
C.T.U comment yako, mmmmh wacha nipite tu...
 
Last edited by a moderator:
Wachoyo na wabinafsi sana wana roho mbaya si kidogo
 
Ukioa mpare umeoa ukoo mzima.dada kaka mjomba na nk hawatakosekana nyumbani.wageni kutoka paris(aka pare)hapo ndo patakuwa pa kufikia wakija kutafuta maisha

Wamekuwa kama wasukuma au waha? maana mm naamini kuwa hawana kusongamana ndani ya nyumba ya mtu, Kha! basi wamebadilika.
 
Bhbm,

Kuolewa na watu baki wanaolewa, uzinzi hata , wahaya, wangoni pia wazinzi, hiyo mm naona ni hulka ya mtu mwenyewe, na wana dini mpaka ndani ya mioyo yao. na hivyo usemavyo dhambi ya uzinzi wamehalalisha ni uongo, hiyo ni hulka ya mtu mwenyewe. mm nawajua pia vizuri sanaaa.
 
wanawake kwa kawaida wanavitu wanavyoamini kuwa vinamfanya mwanaume kuwa laini na dhaifu. vitu hivyo viko kwa wanawake wenyewe moja ni sura yaani hata kama hana mguu atakuwa anajiskia yeye ni mzuri, rangi hasa awe mweupe, makalio na miguu. baada ya hapo ataangalia wewe una-match nae kivipi, akiona upo substandard atakutesa na kukuharibia maisha akiona yeye ndo kabahatika atakuwa naadabu siku zote. hivyo siku hizi hakuna kabila la kuhofia wala kutumia kama kigezo ni maelewano yenu tu.:target:
 
Mke si kabila, unaweza ukapata sifa za Wapare mpaka ukafurahi lakini kumbe yule uliemweka ndani asizifikie sasa utafanyeje? Muombe Mungu akupe mke mwema maana vitu vyote vizuri vinatoka kwa Bwana

Nadhani msemaji hapo kasema yote, mke mzuri ni tabia na wala si kabila lake. Mapenzi ni wewe na mwenzi wako kuridhiana tabia zenu, ukabila ilikuwa zamani.
 
mimi ni kijana ambaye nataka kuoa kwetu ni kigoma sasa nataka kuoa binti wa kipare naomba msaada wa kuwajua kiundani zaidi tabia zao......! Naomba kuwasilisha wana bodi wenzangu.

naona unataka kufa maskini utajaziwa kuanzia bibi babu na ndugu zote hapo ,akili kuamo ee kaoe tu mchaga uendelee mbele wapare unawajua wewe vizuri???ndio sababu hukuti wachaga wanaoa hiyo kabila
 
nadhani msemaji hapo kasema yote, mke mzuri ni tabia na wala si kabila lake. Mapenzi ni wewe na mwenzi wako kuridhiana tabia zenu, ukabila ilikuwa zamani.

poel yake dada yako yuko matatani kuachwa ndoa tumeishika wana jf
 
Ina maana hawa wapare wote wanatabia sawa kweli!,kama ni wazinzi hii imeishaingia kwenye makabila karibia yote!!
 
secret,

Ndugu yangu mbona mnawahukumu sana hawa watu jamani.......Mimi sio mpare ila naomba nitetee hapa........kuhusu tabia, hizi ni tabia tu ndugu yangu ambazo mtu wa kabila yoyote ulimwengu huu anaweza kuwa nazo. Mimi nimeshawahi kuishi na wapare na kuna ndugu yangu ameoa mwanamke wa kipare na wanaishi vizuri tu.......yani mama wa watu mpole na ni mkarimu kweli.

Jamani hivi ni kabila gani dunia hii ambalo ni 100% perfect kuliko makabila mengine? Tusiwe namna hii jamani........hizi tabia ni hulka tu ya mtu mwenyewe na sio kabila maalum.

Sasa hapo kwenye RED hapo......Aisee!!! watu wa ulimwengu huu bwana.......... yaani bila aibu unasema kabisa wanawake wa kipare ni wahuni, ila wewe kutembea na wake za watu ina maana wewe sio muhuni, si ndivyo.

Dah!!!...Ashakun si matusi........Kweli Wahenga waliposema nyani haoni kundule hawakukosea.
 
Una uhakika?
Umefanya utafiti?
Shule bwana..
Shule kitu gani experience ndo ogopa sana bhana..kuna jamaa alikuja humu kutaka ushauri na masters yake juu ya kitu ambacho hata mtu asiekwenda shule anaweza fanya..ni issue kuhusu baamedi sijui alimdanganya kazi yake wametoka nae kijijini kwao huko...alaaaaaah shule madarasa tu...yan...
 
Mtoa mada tafadhali baada ya huu ushauri kuupima kwa kina nadhani utafanya maamuzi yako binafsi basi uwe mwangalifu kuchanganya na zako.
 
kamuulize Helen Bisimba,atakushauri mengi kuhusu wapare
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom