Naweza kuungana mawazo na wanaosema mabinti wa kipare ni tatizo.
Najua kwa karne tuliyopo kujadili mwenendo wa tabia za makabila ni kama jambo la ajabu, ila kuna ukweli ndani yake.
Mimi binafsi nimeshawahi kuwa na mahusiano na binti wa kipare. Aisee nikashuhudia tabia za ajabu ambazo sikuwahi kudhani kuna watu wanazo. Wazazi wa huyu binti hawapo pamoja, mama yake ameolewa na mwanaume mwingine na baba yake yupo nje ya nchi. Miongoni mwa mambo ya ajabu nilishuhudia ni kama ifuatavyo:
1. Baba wa huyu binti alikuwa akija Tanzania binti alikuwa anakwenda kusalimia hapo hotelini anapofikia na huwa anaweza kulala hapo. Hii kitu nilipokuwa namuhoji kuwa inakuwaje wewe na baba yako ukalale nae chumba kimoja, akawa anajibu kuwa yule si baba yangu sasa shida ipo wapi. Hili jibu lilinistaajabisha sana, na niliona ni kioja cha mwaka.
Kimsingi yeye alikuwa haoni shida ipo wapi. Ila mimi nikaanza mtoa maksi taratibu.
2. Anapenda kuchat na wanaume na chatting zake ni zenye muendelezo ambao si wa kistaarabu. Kama kuna kipindi alikuja kunitembelea mkoani. Nilimpatia namba ya utingo wa basi ninalopenda kupanda ili ampatie tiketi na siti nzuri.
Cha ajabu nilikuja kukuta baadae kwenye simu yake anachat na yule utingo mambo ambayo hayakuwa na mahusiano na biashara wala usafiri. Walikuwa wakizungumza mambo ya kifamilia as if wanajuana kwa muda mrefu sana. Hii ni mfano m'moja tu, ila mifano ipo mingi sana na hapo nilizidi kumshusha vyeo maana hana staha wala haiba ya kike yenye adabu ya mipaka.
3. Alikuwa hana mipaka katika kutaka kudadisi kiundani maisha yangu kwa maana ya upande wa kipato na utafutaji jambo ambalo si kawaida kwa mwanamke mwenye staha. Mwanzo nilihisi labda ni kawaida mwanamke anakupa moyo wa kutafuta, ila siku zinavyokwenda ndipo nikaona kuwa hapana, ni mwanamke ambae anataka nikadiria kuwa nini napata na kiwango gani.
4. Niligundua yeye na mama yake wanashare story nyingi na zingine ni za kuvuka mipaka. Mama mzazi unakaaje na binti yako kumuongelea baba mlezi, juu ya maswala ya migegedo. Au fumanizi ambazo mama amembamba mzee..... Hapa tena taa nyekundu iliwaka. Mama na binti hawana mipaka ya malezi.
5. Mama mtu ana watoto watano, kila mtoto ana baba yake..... Hii pia ilinipa taa nyekundu. Watoto hufuata nyayo z wazazi kwa kuiga na sio kusikiliza yanayofanyika. Kwahiyo ni dhahiri huyu binti alikuwa anakuja kuniharibia matarijio yangu ya kuwa na familia ya baba na mama m'moja.
6. Mama mtu, alikuwa na kawaida ya kukutana na baba wa yule binti anapokuwa inchini kutoka nje ya nchi. Muda mwingine huyu binti alikuwa ananiambia amewaacha baba yake mzazi na mama yake chumba cha hoteli wanaongea. Hii ilinishtua sana ukizingatia huyu mama kwasasa ni mke wa mtu hivyo hatakiwi kuwa faragha na mzazi mwenzake wa awali ambae walishaachana. Na pia binti anayaona yote wadhani anajifunza nini hapo.... Hii ilininipa mashaka sana.
7. Binti kila tukiongea kuhusu kuanza maisha, alikuwa ana insist tupate nyumba kubwa, jambo ambalo nilimwambia kuwa sisi bado vijana wadogo na ndio tunaanza, so nyumba kubwa kuimudu itatukamua pesa, tuanze kidogo kidogo kwa nyumba ya chumba na sebule then tufafika tu nyumba kubwa. Kumbe lengo ni kuja kuwawekea wadogo na ndugu zake n kambi. Hii sikumuunga mkono maana mimi sikutazamia kuanza maisha na watu wengine bali ni mama na yeye. Hakupenda hii kitu.
8. Nilinotice kuwa huyu binti na mama yake walikuwa na mazungumzo ya waganga wa kienyeji. Hii inaaishiria kuwa mama na binti wanashiriki mambo ya kishirkina jambo ambalo ninalichukia sana.
9. Pia mama alikuwa akimdadisi sana binti yake juu ya hali yetu ya familia kiuchumi na mali za familia.
Hivi na vingine vingi vilinifanya kuamini maneno ya wenzangu wanaokiri kuwa wanawake wa kipare hawafai.
Sent using
Jamii Forums mobile app