Mengi yaliyosemwa hapo juu hayana ukweli wa moja kwa moja zaidi ya ''individualization'' tu.
*Kiasili kwa ujumla Wapare wana sifa kuu zifuatazo:
1/UBAHILI(ECONOMIC)
Tabia hii huwa ina uhusiano mkubwa sana na Uchoyo, Ubinafsi, Utunzaji wa vitu na uwekaji wa akiba.
2/SHERIA(LAWFUL)
Tabia hii inajidhihirisha kwa kupenda kesi, kufanya Vikao, kudai haki kisheria, kuandikishana makubaliano, Kuweka kumbukumbu za kimaandishi.
Usishangae kukuta wapare wengi ni wanasheria kitaaluma!!
3/IMANI(BERIEF)
Uislamu na Ukristo(hususani Lutherani(Zaidi Mwanga) na Usabato(zaidi Same)) umeenea sana huko kwao toka enzi na enzi, ni Vigumu(nadra) sana kukuta kuna wapare bado wanaamini dini za jadi(mizimu, matambiko, ushirikina) au wapagani katika jamii zao.
Kifupi ni kwamba wapare ni waumini wazuri sana misikitini na makanisani popote pale utakapowakuta hapa Tanzania.
4/UBISHI(STURBBON)
Hawa sio watu wakupelekeshwa tu kama jambo hawajalielewa na kuliafiki toka mwanzo.
Hii wakati mwingine imewafanya wasibadilishe mifumo yao ya maisha kwa haraka sana yaani woga wa kuendelea kwa haraka tofauti na wachaga wanavyofanya.
Ni ving'ang'anizi sana.
Wako tayari kulipinga jambo siku zote mpaka kaburini!!