Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
Kama unaweza kumbagua mtanzania mwenzako kwenye mapenzi kwasababu tu ya kabila lake...
Ukikutana na mtu wa taifa jingine kabisa na mwenye rangi tofauti na yako sijui itakuaje..
Ukabila huchangiwa sana na watu wenye mawazo mgando kama ya wachangiaji wengi humu...
Hata mnyaturu akikataa kumuoa mmakonde kwa kigezo cha kabila lake ni ukabila...
Ukiwa na mawazo ya kikabila, udini pia hautakua mbali na kichwa chako...
Mila na desturi za makabila mengi hazitofautiani sana, watanzania wote ni sawa...
Sidhani kama mapungufu waliyonayo binadamu, yanaletwa na makabila yao..
Penzi la kweli halina vigezo vyovyote wala masharti, halichagui dini wala kabila