Nataka Kununua Kiwanja Zanzibar

Nimemuuzia Mpemba mmoja Kiwanja hapa Kihonda Morogoro, hakuna kikwazo chochote alichopata kipindi cha kubadili umiliki wa kiwanja toka kwangu kwenda kwake. Sasa nataka namimi niende Unguja nikanunue kiwanja kwaajili ya makazi na biashara... Naamini sitakutana na kikwazo chochote maana hii ni nchi yetu sote. Vinginevyo muungano wetu utakuwa na tatizo la kiufundi.
Kasome vizuri Katiba ya JMT na historia darasa la nne la zamani (somo hili limefutwa kwy mtaala wa sasa wameweka civic & moral), utakubaliana nami kwamba hatujaungana kwa kila kitu. Rejea pia hati ya muungano.
 
Kwani wewe ni muislamu? Kama sio thubutu ndo utajua kwamba Nyerere ndo alie jipendekeza kwa Zanzibar
Kwahiyo Mkristo hawezi kuwa rais Zanzibar hadi dunia itoweke? Au hadi apindue rais Muislamu? Na je, rais wa Zanzibar kikatiba ya muungano anapindulika?
 
Darul s salaam(dar es salaam) ni mji wa waislam,na una jina la kiarabu,nyerere alipoacha ualimu na kujiunga na siasa,waislam wakampa nyumba magomeni na kuhudumia familia yake mpaka aliposhika hatamu,wakiristo wengi wa dar walipanga majumba ya waislam kabla ya kujenga yao,unaposema penye waislam mkiristu kuishi shida unamaanisha nini!?..jaji agustino ramadhani ni mkiristu wa zanzibar
Hahahaaaa reference nzuri hiyo, lbd Wakristo wanakula ile kitu haram kwa wenzao. Imani zinahitaji uvumilivu.
 
Waislam wa Tanganyika nitofauti na Waislamu wa Zanzibar mfano Hussein juzi alipewa muhariko kanisani akaenda kwasababu yeye ni muislam wa Tanganyika, lakini angekuwa Muislamu wa Zanzibar hasinge kajanga kanisani, sikukuu ya idd waislamu wa bara Wana pika chakula tunakula nao pamoja tuna wapa kuku wachinje tofauti na waislam wa Zanzibar sikuku ya idd hawa kukaribishi mtu ambaye siye wadini Yao kusherekea sikukuu ya dini Yao Kwa kifuti waislam wa Zanzibar Wana ubaguzi mkubwa Sana
Duh!
 
Hakuna kitu nakichukia kama haka kamuungano uchwala,, natamani kavunjikilie mbali,, hakuna manufaa yoyote anayopata Mtanganyika zaidi ya kuwabeba Wazanzibar wasiobebeka,,
 
Sema hivi waislamu wa bara ni wanafiki tu, ila hawawapendi wa kurustu majumbani kwao, ni kwasbb ya ujilani na mambo ya kazi, ila baadhi ya wa kuristu wana chuki ya kudumu na dini ya uislamu
Ila zaidi ya 70% ya wateja wa bidhaa za Bakhresa na MO ni Wakristu na dini zingine zisizo za kiislamu. Kwa mantiki hiyo basi kumbe ulaji (consumption) ya Wakristu ndiyo unampaisha MO kuongoza Afrika kwa utajiri (Billionaire).

Kumbe huenda ndiyo sbb Bakhresa na MO wanaogopa kujihusisha na udini. Baghosha!
 
Ardhi syo Mali ya muungano ujue!

Alaf population ya watu huko sjui kama wanazid mln 5,sasa watu toka bara huku mkisema mkanunue ardhi huko si mtawamaliza?

Ila bado unaweza miliki ardhi huko
Kwa wazungu,wageni wamilikije huko
Wageni wote wanaomiliki maeneo huko hawakosi madem,wake toka huko

Ova
Bara idadi ya watu wa kutengeneza soko la bidhaa zake ni kubwa kuliko Znz. Lkn 25% ya ardhi ya bara ndiyo inakaliwa na binadamu. Kwanini ahangaike km kikongwe mwenye macho mekundu?
 
Waislam wa Tanganyika nitofauti na Waislamu wa Zanzibar mfano Hussein juzi alipewa muhariko kanisani akaenda kwasababu yeye ni muislam wa Tanganyika, lakini angekuwa Muislamu wa Zanzibar hasinge kajanga kanisani, sikukuu ya idd waislamu wa bara Wana pika chakula tunakula nao pamoja tuna wapa kuku wachinje tofauti na waislam wa Zanzibar sikuku ya idd hawa kukaribishi mtu ambaye siye wadini Yao kusherekea sikukuu ya dini Yao Kwa kifuti waislam wa Zanzibar Wana ubaguzi mkubwa Sana
Waislamu wa kule sio wazuri
 
Idris abdulwakil,rais wa Zanzibar aliingia kanisani kujionea makanisa yanajaa kiasi gani jumapili..unaishi Zanzibar mji gani!?
Kama wewe ni Muislam wa Zanzibar una utu huo wa kujali binadamu regardless of their religion jiongelee wewe kama wewe ila usiwatetee hao Waislam wengine wa Zanzibar ni WABAGUZI SANA.

Waislam wa bars hawako hivyo, hata wakipishana kidg na Wakristo wanayajenga kindugu.
 
Back
Top Bottom