Nataka kumuua mbwa

Nataka kumuua mbwa

Oh; Unaona aisee, anasikitika kwa kusudio lako ovu. Mbwa wanaouwezo wa kuhisi jambo baya na kwa Taarifa yako mbwa wanaweza kujua au kuona mambo kabla hayajatukia. Mimi mbwa wangu walikuwa wanajua/wanatoa ishara ya tukio baya e.g tetemeko la ardhi kwa kutoa mlio usio wa kawaida na kweli baada ya muda kunatokea tetemeko. Mbwa wanauwezo wa kuwaona wanga au kumgundua mtu mwenye nia mbaya anapokuja nyumbani kwako. Sasa nimchukue/utanipa?(nataka kumnusuru maisha yake.) acha aje ajifie mwenyewe hapa kwangu.
 
Unaonekana ulikulia maisha ya Utoto ambayo ulikua unamkamata Mjusi, unaanza kumtoa mguu mmoja baada ya mwingine

Kisha unamkata mkia,kisha unampasua tumbo,kisha unamkata kichwa huku UKICHEEEEEEEEKAAAA SAAAAAANA.

Hii inamaana roho ya Ukatili indani mwako, Kuua ua yaan kutoa uhai wakitu kilichohai kwako ni Rahisi tu.
 
Kwa nini usimtoe msaada kwa jeshi la polisi akaenda fanya mafunzo na kina hobby huenda akaja kuisaidia nchi yetu katika swala la ulinzi.🐕
 
Kampe ninja,kuna wa kwake alienda training anaweza kumbadili na huyo pia
 
Dah,Kweli kuna watu wana roho mbaya,Yaani kiumbe ushaakitumikisha vya kutosha alafu unataka kukiuwa,No Man.
 
Unaonekana ulikulia maisha ya Utoto ambayo ulikia unamkata Mjusi, unaanza kumtoa mguu mmoja baada ya mwingine

Kisha unamkata mkia,kisha unampasua tumbo,kisha unamkata kichwa huki UKICHEEEEEEEEKAAAA.
Hamna kamanda maisha nilio kulia ya kawaida tu
 
Oh; Unaona aisee, anasikitika kwa kusudio lako ovu. Mbwa wanaouwezo wa kuhisi jambo baya na kwa Taarifa yako mbwa wanaweza kujua au kuona mambo kabla hayajatukia. Mimi mbwa wangu walikuwa wanajua/wanatoa ishara ya tukio baya e.g tetemeko la ardhi kwa kutoa mlio usio wa kawaida na kweli baada ya muda kunatokea tetemeko. Mbwa wanauwezo wa kuwaona wanga au kumgundua mtu mwenye nia mbaya anapokuja nyumbani kwako. Sasa nimchukue/utanipa?(nataka kumnusuru maisha yake.) acha aje ajifie mwenyewe hapa kwangu.
Maana zaidi ya wa3 wote mnamtaka wewe upo dar?
 
Je, mbwa anayelengwa ndo huyu? Hivi kweli Dingimoto anamwogeshaga? Naomba Dingimoto atoe jibu kwa hoja ya uogeshaji, malazi na chakula bila kusahau dawa za kutoa minyoo na chanjo ya rabies. Halafu nitamwambia kitu.
Ni huyu hapa kumwogesha huwa namuogesha au dokta kama sipo dawa za magonjwa ana pata chanjo kila baada ya miez6 ile ya kichaa minyoo,
20180807_010540.jpg
 
Unaonekana ulikulia maisha ya Utoto ambayo ulikia unamkata Mjusi, unaanza kumtoa mguu mmoja baada ya mwingine

Kisha unamkata mkia,kisha unampasua tumbo,kisha unamkata kichwa huki UKICHEEEEEEEEKAAAA.
Umeandika kitu kikubwa mno werevu watakuelewa juu ya ukatili wa watoto wa kiafrika nitatoa sumulizi ya baba yangu akiwa uingereza kupitia Uzi huu
 
Back
Top Bottom