Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,322
- 6,967
Kuna njia moja rahisi sana na ndo nayoitumia kupunguza hii mifugo yangu ila inataka moyo kama una roho nyepesi tafuta njia mbadala. Tafuta gongo moja matata( la mti na sio kinywaji) afu subiri mbwa akilala mbamize moja la kichwa hapo atakufa fasta kwani mbwa ukimbamiza kichwani unakata network zote. Na hii ndo dawa ya wale mbwa koko au wenye vichaa.
Nawasilisha
Nawasilisha