Nachokushauri ni kitu kimoja tu, usimtelekeze akaishi mitaani. Usimuue ikiwa humtaki, bora uwapatie hao wanaomuhitaji. Kuliko kuingia gharama za kumuua ni bora ufanye hivyo tu itakuwa afadhali.
Shida si humtaki, wape wanaomtaka ikiwezekana muuze kwani utapata faida na pia itakuwa ni manufaa kwako. Nadhani ni namna iliyobora, kuliko kuua kiumbe ambacho hata nusu ya umri wake hajafika.
Unaonekana ni mwanadamu usiye na shukrani, yaani kiumbe amekula sumu akikutetea wewe ndiyo unakimbilia kumuua. Pasipo hata kumwita daktari, amtibie