Nataka kumuua mbwa

Nataka kumuua mbwa

Aisee, Tumia Fursa Mkuu, sio lazima Mbwa awe wa kukulinda na wezi tu, unaweza kwenda kumpandisha kama ni Jike au Kuuza Mbegu kama ni dume, biashara kabisa hiyo... Mbwa bado yupo? au ushampa sumu?
 
Ni huyu hapa kumwogesha huwa namuogesha au dokta kama sipo dawa za magonjwa ana pata chanjo kila baada ya miez6 ile ya kichaa minyoo, View attachment 828865
Mkuu, mbona mbwa wako ni mzuri tu hana hitilafu kimaumbile? Hoja ya kupunguza ukali sioni kama ina uzito kiasi cha ww kutaka kumtoa uhai wake. Mpe chakula chenye pilipili-mbuzi yaani uwe unamchanganyia kwenye chakula chake anachokula kila siku hususan supu ya mifupa au dagaa.
 
Onana na bwana minister Kan Lugo akuelekeze umpeleke pale chuo cha libandari akapate certificate agraduate kama wale dogs wa serekeli.
 
Ni huyu hapa kumwogesha huwa namuogesha au dokta kama sipo dawa za magonjwa ana pata chanjo kila baada ya miez6 ile ya kichaa minyoo, View attachment 828865
Nachokushauri ni kitu kimoja tu, usimtelekeze akaishi mitaani. Usimuue ikiwa humtaki, bora uwapatie hao wanaomuhitaji. Kuliko kuingia gharama za kumuua ni bora ufanye hivyo tu itakuwa afadhali.

Shida si humtaki, wape wanaomtaka ikiwezekana muuze kwani utapata faida na pia itakuwa ni manufaa kwako. Nadhani ni namna iliyobora, kuliko kuua kiumbe ambacho hata nusu ya umri wake hajafika.

Unaonekana ni mwanadamu usiye na shukrani, yaani kiumbe amekula sumu akikutetea wewe ndiyo unakimbilia kumuua. Pasipo hata kumwita daktari, amtibie
 
Nyooo!
Wa aina hiyo na saizi hiyo hapatikani kwa Bei ya chini ya Milioni Moja.
Labda uwe na Wazimu kumuuwa.
 
Tatizo amekuwa sio kama, alivo kua zamani sio mkali tena
Amekuwa mtu mzima tu huyo mambo ya kijinga jinga ugomvi ugomvi usio na mpango hana habari nao !wewe tu hujaacha mambobya kipumbavu kupenda ugomvi na makelele kumbuka mwaka wako mmoja ni miaka 10 yake kwa hiyo kama ulikaa nae miaka 4 ujue mwezako ana 40 sasa unataka afanye swaga za kitoto mikelele na ugomvi usio na mpango
 
Back
Top Bottom