dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
- Thread starter
- #141
HmmSo heartless
HmmSo heartless
Ha haaaa, noma sana
Sababu za kumuhasi ni nn?Ana miaka minne na
Ni dume, chief tatizo NILIMHASI mwakajuzi View attachment 828612View attachment 828613
Look how love the dog has to you.. Amekula sumu kwa ajili ya kukulinda wewe.. Now amepoteza uwezo wake unataka kumuua... Unaroho mbaya sana we jamaaWalimlisha kitu na dawa walimpulizia toka hapo si mkali tena
Jina analo mr.Mpe jina baya then hang him.
Walikua wawili nilikua jike na dume nilikua sitaki wazalianeSababu za kumuhasi ni nn?
Una maana gani ukiandika hivoLaana zingine ni za kujitakia tu!!
Nipo dar chiefSehemu gani mkuu? Niruhusu nimchukue tafafhali
Jamani!! habari wandugu
baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama ya ng'ombe ili nimchanganyie kwenye chakula chake na hiyo sumu.
Wale wajuzi Wa mbwa nipeni namna nzuri View attachment 828470[/QUOTE
Mie na deal na mbwa ikiwemo kurelocate mbwa wasio hitajika wakiwemo wazee na wagonjwa. Pia nitakupatia mbwa bora kwa mahitaji yako
KANGI alisha pata mbwa wakeNgoja Kangi akusikie
Hmm! Nimchinje tenaMchinje halafu tupia picha tuhakikishe
Hizo ndio tabia za maboss wetu wanakuthamini unapokuwa na uwezo wa kubwekea wengineLook how love the dog has to you.. Amekula sumu kwa ajili ya kukulinda wewe.. Now amepoteza uwezo wake unataka kumuua... Unaroho mbaya sana we jamaa
Utamuweza huyuNipe bure Mkuu