Nataka kumuua mbwa

Nataka kumuua mbwa

nilikuwa na mbwa nilimchukua mtaa wa pili akiwa mdogo, siku moja nilivamiwa na vibaka home akaanza kuwaletea shida jamaa ikabidi wampe ubao mmoja wa maana mgongoni. kuanzia siku hiyo sikumuona tena baada ya wiki naambiwa amerudi alikozaliwa. ndio nilijua hawa viumbe kumbe wana akili sana.
 
Aisee ni kweli mbwa ni kiumbe mwenye akili ndio mana wenzetu wazungu wanawajali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom