Nataka kumuua mbwa

Nataka kumuua mbwa

Mlete Masaki atapata mtu atakaye mtunza tena atakuwa ana ishi ndani wala sio nje!
Mtafute mtu akusaidie kumgawa bure, lakini please usimuue jamani kiumbe mzuri sana huyo!
OK, sawa
Ila hata mimi huku ninaishi nae ndani
 
Hawa Mbwa ni Belgium Malinois siyo kabisa wanakuwa wakali sana infact hii post siamini sana maana
 
Jamani!! habari wandugu
baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama ya ng'ombe ili nimchanganyie kwenye chakula chake na hiyo sumu.
Wale wajuzi Wa mbwa nipeni namna nzuri View attachment 828470
Usimuue ila kama unataka awe mkali mvutishe bange!
 
Huyu sindiye yule aliyekua akitafutwa kule kwenye parking ya meli kisha ikasemekana alikua tuition
 
Back
Top Bottom