Nataka kumuua mbwa

Nataka kumuua mbwa

Picha ya kudownload tunaomba Picha halisi ya mbwa wako

20180806_190255.jpg
 
Mbona km mbwa wa kangi anayetafutwa si useme tu ukweli, mpeleke kituo cha police
 
Muuzie MTU awe wa MBEGU kuliko kumuuwa, utakuwa huna fadhila kama waitara pale alipokuwa mkali kabla ya wezi kufanya yao.Au mpeleke shule akasome kozi zinafundishwa.
Tatizo Nilisha "Mhasi "ni dume
 
nitafute nikupe BANGE na majani fulani hivi umchanganyie.. alaf uje nae akiwa amekatwa mkia kama cm5 hivi,, alaf muache kwangu siku 7.. uje umchukue


ANGALIZO kwako kuwe na fensi kubwa tu
Duuh Hii si hatari sasa
 
Je, mbwa anayelengwa ndo huyu? Hivi kweli Dingimoto anamwogeshaga? Naomba Dingimoto atoe jibu kwa hoja ya uogeshaji, malazi na chakula bila kusahau dawa za kutoa minyoo na chanjo ya rabies. Halafu nitamwambia kitu.
Huyu hapa
20180806_190228.jpg
 
Back
Top Bottom