wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,008
- 28,342
Wee umemwelewajeWhy so serious...??
Wee umemwelewajeWhy so serious...??
Nimemuelewa nilivyomuelewa nikaamua kupiga kimya coz hainiongezei wala kunipunguzia. I got nothing from this.Wee umemwelewaje
Nitakae muuzia nita muuzia mzigo tu, mbwa ukali umepungua sio kawaida
waite modokta wa mifugo watamchoma sindano na atakufaJamani!! habari wandugu
baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama ya ng'ombe ili nimchanganyie kwenye chakula chake na hiyo sumu.
Wale wajuzi Wa mbwa nipeni namna nzuri View attachment 828470
Kumuua tu wala haumwi gonjwa lolote la kuambikiza binadamu? Wakimuua nao wanastahili hizo sindano.waite modokta wa mifugo watamchoma sindano na atakufa
Mbwa mwenyewe Kakaa uchiJamani!! habari wandugu
baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama ya ng'ombe ili nimchanganyie kwenye chakula chake na hiyo sumu.
Wale wajuzi Wa mbwa nipeni namna nzuri View attachment 828470
Au amtafute bwana Bangi....Mtafute Mhehe yeyote hapo umpe huyo mbwa ye ndo atajua amfanye nini huyo mbwa...
Weka picha halisi...Jamani!! habari wandugu
baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama ya ng'ombe ili nimchanganyie kwenye chakula chake na hiyo sumu.
Wale wajuzi Wa mbwa nipeni namna nzuri View attachment 828470
Mkuu; huyo mbwa wako ni dume au ni jike? Ana umri gani? Kwani kosa lake nini? Hebu vuta taswira ya binadamu anavyokua (Grow) katika maisha au kuishi kwake. Kwa mfano, Je, Wale watu tulio waona au kusikia habari zao za Ukali/Ubabe eg. Mike Tyson, Mohamed Ally and the like walibaki (Static) kuwa hivyo-hivyo tuu au nao ilifikia mahali/muda nao wakapoa? Usimwue bali endelea kumtunza kwani ulishapata huduma yake(Ulinzi/Ukali) yaani ulishakula fadhili zake. Wewe Ukimwua kwa makusudi ni sawa na kukamilisha usemi kwamba "shukrani ya punda ni mateke". Hakika utakuwa hujamtendea haki na hivyo Roho yake itakulilia. Kubali-Usikubali lakini UKWELI ndo huo. Nakushauri mwuze au mpe mtu anayemuhitaji. Kama ni dume nipe mimi nifanyie kazi ya crossbreeding. Lakini weka picha yake halisi sio hiyo ya ku-download. Aisee acha ukatili kwa viumbe wa Mungu.Jamani!! habari wandugu
baada ya kuona mbwa wangu kipindi hiki amepungua makali sasa nataka nimuondoe, naomba mnisaidie nimuwekee dawa(sumu) gani ili afe je? sumu ya panya inafaa nimeandaa nyama ya ng'ombe ili nimchanganyie kwenye chakula chake na hiyo sumu.
Wale wajuzi Wa mbwa nipeni namna nzuri View attachment 828470
Weee jamaa wewe.....Mtafute Mhehe yeyote hapo umpe huyo mbwa ye ndo atajua amfanye nini huyo mbwa...
haya bhana ila mungu anakuona...