Bora umuache akateseke kwa kipindi kifupi sababu pasipo shaka wala mawaa wewe ni mwanaume gubu
Hili nalo linavumilika madame CC Miss ChaggaMke uliowa mwenyewe,
Ukisikiliza ya kuambiwa utakuwa unaacha wake kila siku.
Mengine yanavumilika mengine yanafundishika;
Lisilovumilika ni kumfumania tu.
Hili nalo linavumilika madame CC Miss ChaggaMke uliowa mwenyewe,
Ukisikiliza ya kuambiwa utakuwa unaacha wake kila siku.
Mengine yanavumilika mengine yanafundishika;
Lisilovumilika ni kumfumania tu.
masikini ya mungu hivi huyo dada anajua kuwa yuko karibuni kuachwa????
najiuliza tu kwani huko kwa mama ulikuwa ukiishi naye???
je ni mke wako wa ndoa???
una amini vip kwamba ni kweli ameonesha utovu wa nidhamu? maana kwa kusimuliwa tu haitoshi??
Kama sheria itanitaka nifanye hivyo ntatoa
ukishamuacha nipm namba yake ya simu. wewe hujui kuishi na mwanamke labda kaishi na mama yako. kosa kubwa ulilolifanya ni kumpeleka mke wako kwa mama yako. sisi wenzio huwa tunawaacha hapahapa tunawatunza sisi kama kuna mtu anataka kumsaidia anatakiwa aje hapohapo kwako akae mwezi au miwili halafu asepe, usingempeleka kwa mamako kwasababu lazima angegombana tu labda kama hana akili. hakuna mwanamke unayeweza kumpeleka kwa mamako asigombane. nikwasababu mamamkwe huwa ni namba moja kuvunja ndoa za watoto wao wa kiume. hivyo naomba ukimuacha tuletee namba hapa atapata bwana mwema tofauti yako na wewe urudi kaishi na mama yako. nyambafuuuuWanajamvi, ni kama wiki tatu hivi tumebahatika kupata mtoto wa kwanza lkn kabla wife hajifungua nilimpeleka kwa mama yangu kwaajili ya huduma baada ya kujifungua, ndo ilikua mara yake ya kwanza kwenda kuishi na mama mkwe, cha ajabu kwa kipindi chote alichokaa nae ameonesha utovu wa nidhamu mkubwa.
Hivyo nimedhamilia kuachananae muda tu atakapo pata nguvu. Hivyo wanaojua sheria za ndoa na jamii naomba mnijuze ni sheria gani inaweza kunibana ktk hayo maamuzi yangu.
Asante nawasilisha tafadhali.
Huwa najiuliza...kwa hiyo siku zote mtu anakuwa ametulia zinaibuka baada ya ndoa? Kama ndivyo, basi itakuwa ngumu kuwalaumu kwa uchaguzi mbaya manake tabia hizi zimeshindikana kuonekana kabla. Ingawa mimi binafsi huwa naona kama tabia zinaonekana tu, huwa hazijifichi. Kosa letu huwa tunaamini kuwa...aaah..hilo tu mbona linarekebishika? Thubutuuu...
Nifafanulie nilipokosea ili next time nisirudie kosa
Hivi wewe nae kweli ni mume! Dah hivi unafikiri kwa kutumia nn? Mmeoana lini? Running away from a problem isnot a solution to solve it! Tafuta njia ya kuyamaliza hayo matatizo hakuna mtu aliekamilika hapa duniani pengine na wewe Una matatizo yako nani ajuaye?
ukishamuacha nipm namba yake ya simu. wewe hujui kuishi na mwanamke labda kaishi na mama yako. kosa kubwa ulilolifanya ni kumpeleka mke wako kwa mama yako. sisi wenzio huwa tunawaacha hapahapa tunawatunza sisi kama kuna mtu anataka kumsaidia anatakiwa aje hapohapo kwako akae mwezi au miwili halafu asepe, usingempeleka kwa mamako kwasababu lazima angegombana tu labda kama hana akili. hakuna mwanamke unayeweza kumpeleka kwa mamako asigombane. nikwasababu mamamkwe huwa ni namba moja kuvunja ndoa za watoto wao wa kiume. hivyo naomba ukimuacha tuletee namba hapa atapata bwana mwema tofauti yako na wewe urudi kaishi na mama yako. nyambafuuuu
1 mke hupelekwa kwao kujifungua kwani ndiko atakapopewa huduma za kutosha na mzazi wake
2 tumezowea mkeo amnapolala kwa mzazi wako anatakiwa yeye ndo aamke mapema na kusafisha nyumba kama ni tabia yetu ya mila, kwani wazazi wako wanahitaji kunyenyekewa sana na mkwe wao. ujauzito unamsumbua atawezaji kuwasaidia
3 siku zote wazazi hawakusema kua mkeo hana adabu isipokua kipindi cha kujifungua, jua kwamba ni ujauzito
4 waulize wazazi wako ni mambo gani aliyokua akiyafanya huyo mkeo, halafu mkae na kuongea. kumuacha sio solution