Nataka kumuacha mke wangu

Nataka kumuacha mke wangu

acha upimbi wewe .. mama yako hawezi kumtreat in good way hata siku moja sisi ndiyo wanawake bwana unafki mbele.. trust me mama yako ndiyo mwenye shida ndiyo maana now days tukijifungua bora kukaa na wazazi wetu kuliko mama mkwe ... KOMA HUNA HAYA WEWE MAMA YAKO NI MALAIKA MKEO KUKAA KIMYA UNADHANI NI MPUUZI AU ANAVUMILIA TU..
Acha my ndugu, tusikariri kua mama mkwe ni mwiba.
Juzi tu tumetoka kumweka kitako mdogo wangu kwa ku mtreat vibaya mama mkwe wake. Yule mama ni.mstaarabu mno na tukamuambia dogo umuombe msamaha huyu mama maana hajakukosea lolote na umemnyanyasa sana. Na huwezi amini, yule mama hakumwambia mwanae vituko vya vya mkewe.
Kila mtu anaweza kukosea.
 
Piga talaka huyo, ukioa mwingine akijifungua mpeleke tena naye akizingua piga talaka, wa tatu fanya kama wawili wa mwanzo!

Binadamu tuna tatizo la kudhani wazazi wetu ni malaika na hivyo haiwezekani wao ndiyo wawe na makosa!
 
Kua muwazi hilo sio kosa la kumuwacha mkeo, tena umezaa nae na huyo mtoto umemfikiria?

Mtoto ndo nilieanza kumfikiria, kimsingi ukisoma vizuri huu uzi unaweza pata kitu cha ziada, domo chafu na udhalilishaji ameuanza kitambo kidogo hata mm mwenyewe alishanifanyia na sasa amefanya kwa mama, kumtusi mtu ( mkwe)/familia ni kosa dogo? Halistahili kukemewa? Kwanini yeye hamuonei huruma huyo mtoto? Au anajua huyo mtoto sio wa familia yangu? Anyway nimfanye nini sasa maana nimekwisha mkanya bila mafanikio
 
Acha my ndugu, tusikariri kua mama mkwe ni mwiba.
Juzi tu tumetoka kumweka kitako mdogo wangu kwa ku mtreat vibaya mama mkwe wake. Yule mama ni.mstaarabu mno na tukamuambia dogo umuombe msamaha huyu mama maana hajakukosea lolote na umemnyanyasa sana. Na huwezi amini, yule mama hakumwambia mwanae vituko vya vya mkewe.
Kila mtu anaweza kukosea.

naamini siyo wote ila tu tusirushe kombora upande mmoja ... tatizo wanaoa mwonekano wanasahahu tabia
 
Mtoto ndo nilieanza kumfikiria, kimsingi ukisoma vizuri huu uzi unaweza pata kitu cha ziada, domo chafu na udhalilishaji ameuanza kitambo kidogo hata mm mwenyewe alishanifanyia na sasa amefanya kwa mama, kumtusi mtu ( mkwe)/familia ni kosa dogo? Halistahili kukemewa? Kwanini yeye hamuonei huruma huyo mtoto? Au anajua huyo mtoto sio wa familia yangu? Anyway nimfanye nini sasa maana nimekwisha mkanya bila mafanikio
pole tatizo hukuweka mambo bayana hapo juu mwanzoni.... kama mimi nimeanza kukupa maneno makali loh nisamehe mkuu.. muache kuoa mwonekano mwanamke tabia .. mnabisha ona sasa aibu hii unaishia kunyanyasa mtoto kutokana na uchaguzi wako mbaya
 
Kulingana na eneo nnalo ishi, kituo kinachotoa huduma za afya hakihudumii akina mama wanao jifungua mtoto wa kwanza na watano na kuendelea, hivyo ikalazimu kupelekwa sehemu nyingine ambako mm nilipendekeza kwao kwa mama yake ambako ni mkoani, kuna hospitali kubwa....wazazi wake walikataa kwa hoja ya mila haziruhusu, ndipo nili poamua kumpeleka nyumbani kwetu ambako pia ni mkoani.

sema ulikua unamtafutia makosa siku nyingi,kwa hiyo lilipotokea la kwenda kujifungulia kwenu ndo ukapata sababu,Acha gubu mtoto wa kiume
 
Kwhy mama ako atardhka nahcho ktendo?elewa hamna mkamilfu chin ya Jua!!

Kweli hakuna mkamilifu, na si mama tu bali nahisi ndugu wengi hawata ridhika maana mengi sijawaambia hivyo hawaijui shoo ilivyo
 
Ni kweli...kuna wanawake ni hamnazo...
Anaweza kuwa mke au mkwe...

Nishaona cases za pande zote...

Na kuna cases mke na mkwe wanaiva...hadi raha...(ila hapo ni kuwa wote wastaharabu)

Ila nadhani ndoa za hivyo zina wakati mgumu sana...unaishije na mke ambaye ni adui wa ndugu zako? na kwa nini mke ana enjoy kuona yeye ni chanzo cha utengano kwenye familia aloingia ukubwani?????? Kuna wanawake kabisa wanajisifia..."mume wangu anawakomeshaje ndugu zake sasa"
Of all people kwa nini ujipime penzi la mumeo kwa kumfanya achague kati yako na mama yake??????

Kama ni mawifi ni haki ukiamua kuwatupa kule...ila mama mkwe...haiingii akilini...
Mimi kama mzazi kweli wanangu tusiongee kisa mwanamke alomjua ukubwani???????

Acha my ndugu, tusikariri kua mama mkwe ni mwiba.
Juzi tu tumetoka kumweka kitako mdogo wangu kwa ku mtreat vibaya mama mkwe wake. Yule mama ni.mstaarabu mno na tukamuambia dogo umuombe msamaha huyu mama maana hajakukosea lolote na umemnyanyasa sana. Na huwezi amini, yule mama hakumwambia mwanae vituko vya vya mkewe.
Kila mtu anaweza kukosea.
 
jamani ila kunw wanawake hawana adabu na wakwe zao
yaani ana mdomo mchafu usiombe ikukute hii kitu utagombana na kila mtu
Fedora i know difficulties it is kua na mke km huyo
hao wanaokuona bogas hao hawajui tu
na hyo ndoa hapo ht raha na amani hamna

Wapo sana wanawake wa hivi....na ushakutana na mama mkwe wa hivyo nae? Wakikutana wote wawili hawasomeki, anabaki mume kati hajielewi...
 
Mafundisho ya dini yanatuambia Mwanaume hatomuacha mke wake isipokuwa kwa kosa na Zinaa. Katika haya maisha kuna mambo mengi ni vema ujaribu kupima ukubwa wa hilo tatizo na nafasi ya mke wako katika maisha yako kwa ujumla.

Kama mlifunga ndoa au hamjafunga ukikaa naye kwa miezi 6 mfululizo sheria inakubana, hivyo ili uwe na nuhakika nakushauri uende katika ofisi za serikali kuonana na OFISA USTAWI WA JAMII kama sikosei akushauri
 
Wapo sana wanawake wa hivi....na ushakutana na mama mkwe wa hivyo nae? Wakikutana wote wawili hawasomeki, anabaki mume kati hajielewi...

Hahahahahaaaaa, hii sasa kali
 
Wanajamvi, ni kama wiki tatu hivi tumebahatika kupata mtoto wa kwanza lkn kabla wife hajifungua nilimpeleka kwa mama yangu kwaajili ya huduma baada ya kujifungua, ndo ilikua mara yake ya kwanza kwenda kuishi na mama mkwe, cha ajabu kwa kipindi chote alichokaa nae ameonesha utovu wa nidhamu mkubwa.

Hivyo nimedhamilia kuachananae muda tu atakapo pata nguvu. Hivyo wanaojua sheria za ndoa na jamii naomba mnijuze ni sheria gani inaweza kunibana ktk hayo maamuzi yangu.

Asante nawasilisha tafadhali.

We mshamba mbwiga tena fulumbu kabisaaa... Kaa na mkeo umrekebishe huna hata soni kuja kutuuliza.

Tena ukomee
 
sema ulikua unamtafutia makosa siku nyingi,kwa hiyo lilipotokea la kwenda kujifungulia kwenu ndo ukapata sababu,Acha gubu mtoto wa kiume

Hahaha...Sio gubu ndugu yangu ni katika kumpatia anachokitaka
 
pole tatizo hukuweka mambo bayana hapo juu mwanzoni.... kama mimi nimeanza kukupa maneno makali loh nisamehe mkuu.. muache kuoa mwonekano mwanamke tabia .. mnabisha ona sasa aibu hii unaishia kunyanyasa mtoto kutokana na uchaguzi wako mbaya

Huwa najiuliza...kwa hiyo siku zote mtu anakuwa ametulia zinaibuka baada ya ndoa? Kama ndivyo, basi itakuwa ngumu kuwalaumu kwa uchaguzi mbaya manake tabia hizi zimeshindikana kuonekana kabla. Ingawa mimi binafsi huwa naona kama tabia zinaonekana tu, huwa hazijifichi. Kosa letu huwa tunaamini kuwa...aaah..hilo tu mbona linarekebishika? Thubutuuu...
 
We mshamba mbwiga tena fulumbu kabisaaa... Kaa na mkeo umrekebishe huna hata soni kuja kutuuliza.

Tena ukomee
Soma vizuri huu uzi, unaweza kupata kitu kisha utume post nyingine
 
Kama mlifunga ndoa au hamjafunga ukikaa naye kwa miezi 6 mfululizo sheria inakubana, hivyo ili uwe na nuhakika nakushauri uende katika ofisi za serikali kuonana na OFISA USTAWI WA JAMII kama sikosei akushauri

Asante, hii ni moja kati ya vitu vingi nilivyokua nahitaji ktk hili
 
Huwa najiuliza...kwa hiyo siku zote mtu anakuwa ametulia zinaibuka baada ya ndoa? Kama ndivyo, basi itakuwa ngumu kuwalaumu kwa uchaguzi mbaya manake tabia hizi zimeshindikana kuonekana kabla. Ingawa mimi binafsi huwa naona kama tabia zinaonekana tu, huwa hazijifichi. Kosa letu huwa tunaamini kuwa...aaah..hilo tu mbona linarekebishika? Thubutuuu...

tatizo ndiyo kujiamninisha tabia hubadilika .. mimi nasema nitaamini mlima utahama siyo tabia ya mtu aisee.... kama nikiona tabia siwezi ivumilia nasepa fasta wala sijuulizi kuja kufa nikiwa mdogo kisa likitu limelelewa au limejiweka hivyo nani anataka.....
huyu lazima kaoa umbo kudadeki analo
 
Back
Top Bottom