Fedora
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 238
- 173
- Thread starter
- #161
Kuna makabila hapa TZ ambayo kiutamaduni kama mke wa kijana wao anajifungua, basi kijana atampeleka mkewe kwa wazazi wake(wazazi wa mke) ili akale uzazi huko. But gharama zote zitakuwa juu ya mume na familia ya mume! Kwa maana hiyo, binti atakula uzazi kwa mama yake mzazi na sio kwa mama mkwe wake!
Huu uzi umenionyesha kwamba huu ndio utamaduni mzuri!...yaani wakati wa uzazi binti aende kwa wazazi wake waliomzaa kwani huko atajisikia huru zaidi kuliko kwa mama mkwe!
Kimsingi ndivyo nilivyokua nafahamu mm lkn cha ajabu wazazi wake wakaniambia mila zao haziruhusu