hatareempwaaHumpendi wewe...unajua maana ya kupenda wewe?
Ukipenda hayo yote huyaoni...
shidaaaa.....Sa Mungu akupe nini au tumwite manyau nyau akupe jini ....?? Aisee wewe imekaa vibaya ka kali P...
sio nyie kila cku humu mnasema wasomi sio wa kuoa mnataka std7??? vp mbona mwawakana tena!! teh teh teh!
wanaume siku hizi wamekuwa wabwete wa fikra na kazi. wanataka ambaye hajielewi ila atafute hela amtunzie watoto na amtunze yeye
wanadai wanawake hatujui wht we want wakati hata wao hawajitambui, ngoja twende hivi hivi kitaeleweka tu!
mi huwa nachekaga saana wanaume wa siku hizi hata mgegendo wanatoa kimasihara hivyohivyoooo
mtu yuko busy nataka demu :mwembamba kiasi mahipsi yakutosha, awe white kidizaini, mchangamfu lakini asiwe anaongea,matiti yawe saa 6 all the time, macho kama kinyonga hiviii, awe na elimu ya f4-std7 , awe na unywele mzuur lakini sipendi anayesuka ni garama, awe axposed tu ze welid, awajengee wazazi wangu gorofa na wadogo zangu wasomeshwe, awe tunasaidiana majukumu na anitunze nakunihudumia kama mmewe, awe bonge.....
ni huyo mtu mmoja hata hawajielew hawa gorilas ahhhhh typing erorr
-Matumizi ya herufi kubwa na ndogo bado huyajui.
-Matumizi ya x badala s.
-Hivi chuoni mwaka wa kwanza hukujifunza communication skills tena 1 na 2?
shidaaaa.....
hivi hili suala la kujiua lipoje eti Jipu
Love does not ask why..........
Ndo Madude Gan Ayo
sio nyie kila cku humu mnasema wasomi sio wa kuoa mnataka std7??? vp mbona mwawakana tena!! teh teh teh!