Nataka kumuacha ila nampenda

Nataka kumuacha ila nampenda

Eti kuna roho haitakii..huna lolote mbahili wa vyote boom limeisha unahaha jf...nenda mbele..
 
acha ujinga dogo elimu toka mwanza haukuwa kigezo cha kuoa wew cha msingi jipange na uweze kumuoa tu.leo hii ndoa ngap za wasomi ndan hakukariki acha malingalinga wew oa tu huyo ndio wako ndio maana anakupa vitu adim elim ni ppte ili mladi ana hakiri timamu..acha kula kula uwe na msimamo umekua..
 
Kama unamuonea huruma usimuache, subiri mpaka yeye akuache wewe.
 
Mimi nipo Chuo kikuu mwaka wa tatu kuna msichana nilikuwa nataka kupiga na kusepa.

Ila nkakuta ana mambo adimu nikawa nimenasa kwake nikashindwa kutoka Ofcause ni mzuri na anatabia nzuri ananipenda ila kaishia Darasa la saba nataka kumwacha ila kuna roho haitaki.

Pia yeye alitaka kujiua nlipo mwambia kuhusu hilo na yeye kaniganda so nifanyeje maana roho ya huruma inanijia ninapotaka kumwacha.

Ni pm namba ake nioe mie
 
acha ujinga dogo elimu toka mwanza haukuwa kigezo cha kuoa wew cha msingi jipange na uweze kumuoa tu.leo hii ndoa ngap za wasomi ndan hakukariki acha malingalinga wew oa tu huyo ndio wako ndio maana anakupa vitu adim elim ni ppte ili mladi ana hakiri timamu..acha kula kula uwe na msimamo umekua..

Nmekuelewa Mkuu!
 
Dogo kama umedata lakufanya wewe nihili hapa, peleka washenga na kishika uchumba halafu uendelee na chuo, baada ya kupata muelekeo wa maisha kama vile ajira n.k oa anzisha familia. Ila jilinde usije data kwengine.:couch2:
 
Nmekuxom Man Coz Mtu Mwenye Elim Anajibu Kwa Argument Cy Kwa Kupayuka

-Matumizi ya herufi kubwa na ndogo bado huyajui.
-Matumizi ya x badala s.
-Hivi chuoni mwaka wa kwanza hukujifunza communication skills tena 1 na 2?
 
Back
Top Bottom