Nataka kumuacha ila nampenda

Nataka kumuacha ila nampenda

Yawezekana umemzidi muda tu wa kukaa darasani lakini akawa na busara zaidi yako
 
Mi ningekuwa wewe...hata nisingeichezea hyo fursa...kuna bro wangu yeye alimaliza chuo na akabahatika ajira...akaoa mdada wa standard 7...akafanya mchakato wa kumsomesha QT..Mungu akasaidia akafaulu..akaunga wee had sahv anasoma chuo flan tena huku kajishikiza kwenye kampun moja ya mawasiliano..mbona maisha yao ni mazuri tu na yana amani! labda wewe utakuwa hujampenda huyo mdada kwa dhati..kumbuka "what goes around comes around" zingatia mkuu.

Unafaa kwa ushauri mkuu, nimekulewa vizuri.
 
Kitendo cha kusita na kuja uku kuomba ushauri, kinaashiria aupo tayari. Kikubwa kinacho kupa utofauti ni elimu yako tu.

Ook baasi we muache atampata wa kufanana nae alafu wewe chukua msomi mwenzako. Mkiendelea nae uko mbele utakuja msimanga tu. Siku zote mapenzi hayaulizi.
 
Back
Top Bottom