Nataka kumchumbia mke wa sosoliso....

Nataka kumchumbia mke wa sosoliso....

Mh! Wanasema kuwa mapenzi ni sawa na upofu, ila hii ya kumpenda mke wa mtu Paloma ni zaidi ya hatari.

Hivi manoah kumbe siku hizi Prof. Kondoro anawahamasisha kutangaza hadharani mapenzi yenu kwa wake za watu!
 
Last edited by a moderator:
usiwe mkalii ivyo bebe Paloma

Kwa kweli mwenyekiti, huyu amemkosea sana nidhamu mume wangu! Naomba kwa heshma ya ofisi yako huyu manoah achukuliwe hatua za kinidhamu! Ozawaiz mimi nitachukua hatua zangu binafsi na nitaomba nisiingiliwe!
 
Last edited by a moderator:
manoah hapo umechagua, tena nakusihi umalize mipsngo mapema maana Paloma hana shida saaana ila huyo sosoliso ndo ana wivu kama nini.

Nilikuwa najiuliza kla siku "nitapata wapi shemeji atakaye mrisi SOSO maana sijatokea kumpena"

1. Haendani kabisa na Paloma maana Soso ni lirefu kama nini hala Palo ni mfupi kama nukta.
2. Soso ana likitambi likubwa hivyo anatembeaga kwa shida.
3. Soso hajui kuongea vizuri kilugha chetu.

Halafu wewe saudari ntakupeleka mpitimbi ukale na nyoka na kulala na nguruwe..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom