Nataka kumchumbia mke wa sosoliso....

Nataka kumchumbia mke wa sosoliso....

Mechi zingine bhana sasa wewe na wake za watu...
Duh!
 
hata wewe mbona hua unatoa takrima.. kwani ni kosa?

Mwenyekiti Baba V anachukua mulungula..!

Anaejua alipo Baba V naomba ampe taarifa anatuhumiwa tena tuhuma zenyewe nzito.. Aje hapa jukwaani kuzijibu..
 
Last edited by a moderator:
Wallet imejaa makarata, sijui anafanyia nini hizo karata.
Pia kuna Kitambulisho cha shule ya msingi, baba zima na midevu anakitambulisho cha primary, sijui ndio anawakomoa makonda?

Ha ha ha ha.. Bujibuji umeamua kunidhalilisha..? Yaani mie nimekuwa Bishanga nijaze makaratasi kwenye wallet...? Bishanga ndo mwenye tabia hiyo anajifanya yeye mwana mazingaombwe.. Ati profesa Eyeso.. Alijidai Manyaunyau wakamtoa nduki..
 
Last edited by a moderator:
ss ebu nambie unapenda mrefuu au mfupi?,mwembambaaa au mnenee,mzuri saanaa au wa kawaida tu?..mwenye mapenz ya kwelii au ya uongo?..apo ukimaliza kujib kna maswali mengne yaja..ila mwsho wa siku utachagua mwnyeweee
 
Safi mimisa hayo ni maswali ya msingi ni hivi napenda mwanamke mrefu mwembamba...mweupe.....sipendi wanawake wanene na wafupi kabisa.....ofcoz wenye mapenzi ya kweli,.....ok nasubiri maswali mengine!
 
Last edited by a moderator:
mweupe wa asilii au mchubuo pia unahusika? ss unataka mwenye mpz ya kweli ww unayo? haya..karibisha application letaz waambatanishe na cv na picha..unachagua sn ucje umiza mtu moyo tu..
 
mweupe wa asilii au mchubuo pia unahusika? ss unataka mwenye mpz ya kweli ww unayo? haya..karibisha application letaz waambatanishe na cv na picha..unachagua sn ucje umiza mtu moyo tu..

Mweupe wa asili,najua umeachana na manoah coz ya Passion Lady amemuiba ila usijali mi nipo
 
Last edited by a moderator:
Mafanikio mema naamini utaishi vizuri na mume mkubwa ukiwa na mke mkubwa na mdogo
 
mpaka apo tumeshakosana..mie ni mfupi,mweusi tiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,afu mnene balaaa
 
Back
Top Bottom