Nataka kumchumbia mke wa sosoliso....

Nataka kumchumbia mke wa sosoliso....

punguza presha my ozzbend...usije ukafa ukaniacha mjane bado kigori mie!!! na sitaki kukaa mpweke!!!
pliiz babe..poa moyo usijetanuka bure!!!

anatia hasira huyu manoah babe.. na hivi nilitaka kumuachia nyumba nikisafiri lakini nimeghairi..lol...
 
Last edited by a moderator:
  1. Umemkorofisha mtoto mzuri mimisa akakupiga kibuti..
  2. umerukaruka hapa mtaani kila mti ukiugusa unateleza..
  3. sasa unajaribu kutaka kuugusa mlingoti wa chuma uliotegeshwa umeme wa 240kv..
  4. pamoja na kwamba unarithi tabia ya baba yako Bishanga ila sasa unapitiliza.. japo wanasema cha kurithi kinapitiliza..
  5. natangaza vita rasmi na wewe manoah..

cc Bishanga & The secretary..

ole wako nitakufunga jiwe la kusagia nikutupe baharini kuliko kumkosea manoah
 
Last edited by a moderator:
anatia hasira huyu manoah babe.. na hivi nilitaka kumuachia nyumba nikisafiri lakini nimeghairi..lol...

noooo huyu hafai kuachiwa nyumba....huyu tungempeleka shamba kimbiji...........kule kunamfaaaa
 
mmmmmh na kuonea huruma sana hata usitamani Paloma na sosoliso wamezoea kufumaniana lakini hadi sosoliso ana taka kukimbia maana si mchezo alaf lazima ujue Paloma ana nyanyua chuma kama unge pata bahati ya kumuona sosoliso alivyo haribiwa uso kwa ngumi na vichwa vya paloma usinge tamani. yani naona kama una chukua sumu ya panya na kutaka kuinywa,
 
Ha ha ha ha Ruttashobolwa.. Afadhali lkn unisaidie kunitafadhalishia huyu kijana..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom