Nataka kumchumbia mke wa sosoliso....

Nataka kumchumbia mke wa sosoliso....

we mtoto we
una balaa gani tena hili
unamtamani mke wa mtu?????
huku ukiwa unajua kabisa kuwa ni mke wa jirani yangu sosoliso
na tokea leo mie siyo mama yako vinginevyo ufute usemi.

Tabia ya baba yako Bishanga umeichukua yote,
kudadadeeeeki, mtoto weye.

Natangaza rasmi, kua nataka nimchumbie mke wa sosoliso awe mke mdogo, kibubu changu karibia kiteremshe freelander from UK ya 2012.

Copy: dadi Bishanga

mama mdogo The secretary
mama mzazi gfsonwin na Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
mie sija mtamani, ila ninampenda nataka awe mke mdogo..
kauli atanisaidia kuifuta dadi!


we mtoto we
una balaa gani tena hili
unamtamani mke wa mtu?????
huku ukiwa unajua kabisa kuwa ni mke wa jirani yangu sosoliso
na tokea leo mie siyo mama yako vinginevyo ufute usemi.

Tabia ya baba yako Bishanga umeichukua yote,
kudadadeeeeki, mtoto weye.
 
Natangaza rasmi, kua nataka nimchumbie mke wa sosoliso awe mke mdogo, kibubu changu karibia kiteremshe freelander from UK ya 2012.

Copy: dadi Bishanga

mama mdogo The secretary
mama mzazi gfsonwin na Mamndenyi


  1. Umemkorofisha mtoto mzuri mimisa akakupiga kibuti..
  2. umerukaruka hapa mtaani kila mti ukiugusa unateleza..
  3. sasa unajaribu kutaka kuugusa mlingoti wa chuma uliotegeshwa umeme wa 240kv..
  4. pamoja na kwamba unarithi tabia ya baba yako Bishanga ila sasa unapitiliza.. japo wanasema cha kurithi kinapitiliza..
  5. natangaza vita rasmi na wewe manoah..

cc Bishanga & The secretary..
 
Last edited by a moderator:
we mtoto we
una balaa gani tena hili
unamtamani mke wa mtu?????
huku ukiwa unajua kabisa kuwa ni mke wa jirani yangu sosoliso
na tokea leo mie siyo mama yako vinginevyo ufute usemi.

Tabia ya baba yako Bishanga umeichukua yote,
kudadadeeeeki, mtoto weye.

wewe Mamndenyi subiria ataona huyu mtoto.. mwenyewe manoah anaona Arusha huko bado "magaidi" wanaendelea kukamatwa.. ataongeza idadi na yeye..
 
Last edited by a moderator:
sosoliso usiwe na hasira sana.. mke mdogo na mke mkubwa umeona eeh! hapo mie nitakua mme mdogo alafu wewe mme mkubwa, au unaonaje?

  1. Umemkorofisha mtoto mzuri mimisa akakupiga kibuti..
  2. umerukaruka hapa mtaani kila mti ukiugusa unateleza..
  3. sasa unajaribu kutaka kuugusa mlingoti wa chuma uliotegeshwa umeme wa 240kv..
  4. pamoja na kwamba unarithi tabia ya baba yako Bishanga ila sasa unapitiliza.. japo wanasema cha kurithi kinapitiliza..
  5. natangaza vita rasmi na wewe manoah..

cc Bishanga & The secretary..
 
Last edited by a moderator:
i am not gonna talk any blahblahblah here.........babe sosoliso please do the needful!
 
Last edited by a moderator:
sosoliso usiwe na hasira sana.. mke mdogo na mke mkubwa umeona eeh! hapo mie nitakua mme mdogo alafu wewe mme mkubwa, au unaonaje?

yuuu.jpg..
 
Back
Top Bottom