Nataka kulala Mchana niifanyeje simu yangu?

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Kila nikitaka kujipumzisha mchana mara nyingi simu hainipi fursa ya kufanya hivyo..je ni lipi sahihi?
niizime?
niiweke silent?
niidivert somewhere?
niactivate voice mail?
niiache ON?
 
Vyovyote vile unavyoona au itumbukize kwenye maji isikusumbue ili upate usingizi mzuuri murua kabisa
 
kama ina blacklist,weka active in all kals and messages,mtu akikupigia,won't reach u,itawaambia ur busy,then lala mpaka uchokeee.
 
Kila nikitaka kujipumzisha mchana mara nyingi simu hainipi fursa ya kufanya hivyo..je ni lipi sahihi?
niizime?
niiweke silent?
niidivert somewhere?
niactivate voice mail?
niiache ON?
Mwili wako una thamani sana kuliko hiyo simu yako. Kama vipi we zima simu upumzike!..
 
Itupe ukutani then ucheze gemu ya puzzle ile yakuassemble parts of ur mobile to obtain a real phone...
 
Kama kuna important call you are expecting iache on... Kama hakuna izime.
 
Kila nikitaka kujipumzisha mchana mara nyingi simu hainipi fursa ya kufanya hivyo..je ni lipi sahihi?
niizime?
niiweke silent?
niidivert somewhere?
niactivate voice mail?
niiache ON?

Siku zote Ukiwa unataka kulala,ebu IDUMBUKIZE KWENYE NDOO YA MAJI.
 
Back
Top Bottom