Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,689
Will consuder this japo ukinipigia utachukia ukidhani sipokei kwa kukusudia
inachukiza pale unampigia mtu hajapokea, siku inaisha hata hajakupigia. Hiyo ni dalili ya dharau, maana hata kama ulikuwa umepumzika ina maana ulivyoamka hujakuta missed call.