Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

Mwenzio babu kajinyonga huko Rukwa! ImageUploadedByJamiiForums1401909433.456225.jpgImageUploadedByJamiiForums1401909450.358682.jpgImageUploadedByJamiiForums1401909470.143696.jpg
 
Mtoa mada kabla hujafa kuna muhindi anatafuta figo kwa million 8 kama upo tayari nikuunganishe nae unawezapata mtaji wa biashara
 
Unaishi wpi tuje kula mpunga wa msiba wko .. naeka kambi whole weekend kwenu .
 
Wala usijinyonge Mungu ndiye mpangaji...kuna kijana amemaliza chuo kikuu mwaka uliopita amepata kazi pale crdb hana hata mwezi amekufa juzi kwa ajali...nakukumbusha lipo tumaini kwa walio hai kuliko waliokufa...usikate tamaa bado Mungu anakupenda na hajakusahau.

dah kwel bwana leo ndo wamepeleka arusha .ni mtoto wa doctor wa chuo kikuu cha dar es salam anaishi chuo mtaa wa kileleni.amesoma sua watoto wa wakubwa wanapata kazi haraka ila mungu naye ndo kamchukua.
 
mkuu kabla haujafa mimi mwenyewe nilikuwa natafuta kazi,ila naona fursa imejileta yenyewe humu.
1:naomba uniambie ukifa utazikwa wapi ili nipate kazi ya kuchimba kaburi.
2:naomba urefu wako na upana ili nikija nije na jeneza kabisa.
3:nikichelewa kufika hela yangu muachie hata jirani yako nitaikuta, usiniangushe mkuu naitegemea sana kazi kazi yako maana kijiwe kimenuna sasa hivi...
 
Umeshiba mkuu mpaka unataka kujinyonga? Mimi nasema wewe bora ujinyonge ufe kabisa kwani hata ukipata hiyo ajira hautolisaidia taifa na familia yako zaidi ya kuwa mzigo,mtu ulikamilika akili huwezi waza ujinga kiasi hiki..!! ANGALIA UTAKAPO JINYONGA USIJE ACHA KINYESI KWENYE NGUO BORA UNYWE SUMU YA PANYA...!!

huyu inavyoonyesha hata akipata kazi now atakuwa fisadi namba mmoja maana atajumlisha na miaka yote aliyokaa nyumbani....
 
My dear Blessed what a waste of our thoughts, time and efforts!!!! He said eti alikuwa anapima upepo..

Watu Kama hawa ndio huwa wanasababisha wenzao walio na serious problems wasisaidike maana you can't differentiate... aaagh too bad.....
Anyway...ndio jamii inayotuzunguka!!
hata kama kasema hivyo,he is not okay ,I am sure of that,do not worry yourself too much there were no any waste of thoughts,time or effort,what you did was the only thing a civilized person could have done!
 
Nimekuja kujua kama ushakufa mkuu


In this world nothing is certain than Tax and Death.
 
Blessed ninaelewa hali ilivyo na changamoto watu wanazopitia ktk ajira. Watu wanadai ooh ajiajiri? Do they know yupo katika mazingira gani? Opportunities zipi anazo?
God knows and am really sure atamwepusha na hayo mawazo mabaya. Maana inawezekana katumia kila lililo ndani ya uwezo wake amefikia kikomo kwa mtazamo wake. But napenda kumwambia kila jaribu lina mlango wa kutokea. I just pray for him. mwanazuoni2 I hope you can PM me

umetoa ushauri wenye busara
 
Last edited by a moderator:
usijitoe roho ngoja nikutafutie tempo japo ya kunifanyia masaji nijulipe buku tano kwa siku mara tatu kwa wiki. uko tayari?

Ata mimi nataka jinyonga.. Tena mimi LEO jioni. :msela:
 
Kesho tunamsiba wana JF jamaa ndo anajinyonga.. sasa mkuu msina utakuwa wapi ?? ni Dar au kule kwenu makambako??
 
If you are born poor it is your parents fault but if you die poor it is your fault. Mwanazuoni nipo napambana sorry my message ya jana nilikuwa nawachemsha tu.

Au sio...kufa uone kama kuna atakayechemka hapa!
 
Back
Top Bottom