Nataka kuanza kwenda kanisani

Nataka kuanza kwenda kanisani

Kama umeamua kumrudia Mungu mrudie kweli kweli ila isije ikawa mambo haya.......
5.jpg
 
Kwenda kanisani unaomba ruhusa kwanani? Na ruhusa unayo mwenyewe ?shinda moyo wako ,mie sikai hapa usipoenda juu yako
 
Maana halisi ya kanisa imo rohoni mwako, ukimkubali na kumkiri Yesu Kristo kwa roho na kwakweli kuwa Bwana na Mwokozi wako, kule kanisani ni mahali tu pakukutana na wana kanisa wengine
Tahadhari; Epuka makanisa yanayohubiri miujiza tu Siku zote
Epuka makanisa yenye viongozi wanaojiita mitume na manabii
Epuka makanisa yenye kusisitiza utoaji zaidi kuliko kuhubiri neno la Mungu
Unaweza kusali Anglikana, Katoliki, Lutheran na Pentekose lakini huko kwingine manabii na mitume wenye A.K.A nyiiingi kuwa makini nako, hasa kwakuwa umchanga kiroho
 
KakaJambazi Ushindwe na ulegee Latifa umechagua jambo jema.Karibu hapa Kinondoni TAG REVIVAL church karibu na biafra kuna kanisa lenye kumtukuza na kumwinua Bwana Ibada kila jumapili 1.00-4.00 asubuhi na 4.00-7.00 mchana wengi wamemwona Bwana katika maisha yao.
Thanks a lot, hilo kanisa halina
branch huku mabibo au river side hata?
 
Last edited by a moderator:
Latifaa, tuanzishe la kwetu, mimi mchungaji we mama mchungaji
 
Maana halisi ya kanisa imo rohoni mwako, ukimkubali na kumkiri Yesu Kristo kwa roho na kwakweli kuwa Bwana na Mwokozi wako, kule kanisani ni mahali tu pakukutana na wana kanisa wengine
Tahadhari; Epuka makanisa yanayohubiri miujiza tu Siku zote
Epuka makanisa yenye viongozi wanaojiita mitume na manabii
Epuka makanisa yenye kusisitiza utoaji zaidi kuliko kuhubiri neno la Mungu
Unaweza kusali Anglikana, Katoliki, Lutheran na Pentekose lakini huko kwingine manabii na mitume wenye A.K.A nyiiingi kuwa makini nako, hasa kwakuwa umchanga kiroho
Hayo maneno
itakua umenielewa vyema. Ila katoliki, lutheran....... Hayana tofauti sana huku nakotoka

0
 
Kwenda kanisani unaomba ruhusa kwanani? Na ruhusa unayo mwenyewe ?shinda moyo wako ,mie sikai hapa usipoenda juu yako
siombi ruhusa wala nikwamba naomba kuelekezwa nisije nikakosea njia, makanisa yamekua mengi nayanapingana means imanizao nitofauti kuna ndiyo na siyo

0
 
Umetoka wapi?
Unapimaje imani sijui ubora wa kanisa, kwa waumini wake au????

Swali zuri.... Kabla hujaingia.katika kanisa lolote lile, fanya utafiti wa kina.

BTW... Mwenyezi Mungu akutangulie katika jambo jema uwazalo
 
Maana halisi ya kanisa imo rohoni mwako, ukimkubali na kumkiri Yesu Kristo kwa roho na kwakweli kuwa Bwana na Mwokozi wako, kule kanisani ni mahali tu pakukutana na wana kanisa wengine
Tahadhari; Epuka makanisa yanayohubiri miujiza tu Siku zote
Epuka makanisa yenye viongozi wanaojiita mitume na manabii
Epuka makanisa yenye kusisitiza utoaji zaidi kuliko kuhubiri neno la Mungu
Unaweza kusali Anglikana, Katoliki, Lutheran na Pentekose lakini huko kwingine manabii na mitume wenye A.K.A nyiiingi kuwa makini nako, hasa kwakuwa umchanga kiroho
Latifaa huu ndo ushauri wangu nakopy kama ulivyo ukienda kwenye makanisa ya miujiza ukabeba huko mavitu ya ajabu usije lialia hapa.nenda kanisa moja lenye msingi tafuta kujua Mungu kwa namna mbalimbali
 
Last edited by a moderator:
Umetoka wapi?
Unapimaje imani sijui ubora wa kanisa, kwa waumini wake au????

Umeuliza vyema, I was about to ask the same question. I was in the assumption that she was Muslim at first!
 
Back
Top Bottom