Nataka kuanza kwenda kanisani

Nataka kuanza kwenda kanisani

Naona matangazo ya biashara tu hapa.

Huyu njoo huku hutajuta, Mara mwingine twende kule hutanisahau maishani mwako.
 
Kanisa ni mwili wa Kristo dada ila ni vema kuwa na ushirika.Unaweza kujumuika na wakristo wenzio pale kanisa la Deeper Life Bible church Ubungo,kituo cha maji kwa mbele kidogo upande wa kulia kama unatokea Kariakoo.Roho wa Bwana azidi kukujalia maarifa na hekima ya kumjua yeye.Nakutakia safari njema ya mafanikio katika maisha yako mapya ya Kikristo.Ubarikiwe sana.
Imani ya Deeper life bible church ikoje?
 
Nakushauri ukamuone Mama Zungu (Rwakatare), Zungu Kakobe, Zungu Mwingira, kama hawa hauwataki pale Mabibo karibia na baa ya Rangers kuna wale waNigeria (wakimashaka) wanahubiri neno la Mungu pia tena wana maajabu ya balaa kama vile nyoka anakutoka tu ghafla mfukoni, mtu kuanguka (msanii) toka juu ya mti huku akilia alitumwa na Mungu kuna wanigeria watamsaidia kuokoka ndipo akaja pale. Mbona makanisa ya hajabu yako mengi tu. Kama unataka ni pm nije nikuchukue nikupeleke ila mwezi ujao kwani kwa sasa niko mbali kidogo.


epuka huo Ushauri pls makanisa ya kiroho yapo mengi but nakutajia machache yenye uhakika
FPCT,EAGT,TAG,PEFA TAFUTA KANISA MOJA WAPO WA HAYO HAUTAPOTEA HIZO STORI ZA MAMA RWAKATARE SIJUI MZEE WA UPAKO KIMBIA KABISA HAUTAKUA KIROHO
 
Keshapata ngoma anataka akadanganjwe na kufarijiwa kamba atapona kwa kupiga kelele
 
Back
Top Bottom