Maana halisi ya kanisa imo rohoni mwako, ukimkubali na kumkiri Yesu Kristo kwa roho na kwakweli kuwa Bwana na Mwokozi wako, kule kanisani ni mahali tu pakukutana na wana kanisa wengine
Tahadhari; Epuka makanisa yanayohubiri miujiza tu Siku zote
Epuka makanisa yenye viongozi wanaojiita mitume na manabii
Epuka makanisa yenye kusisitiza utoaji zaidi kuliko kuhubiri neno la Mungu
Unaweza kusali Anglikana, Katoliki, Lutheran na Pentekose lakini huko kwingine manabii na mitume wenye A.K.A nyiiingi kuwa makini nako, hasa kwakuwa umchanga kiroho