Nataka kuanza kwenda kanisani

Nataka kuanza kwenda kanisani

anakaa mabibo muonee huruma jamani usikute pia ni mwanafunzi wa mlimani
KakaJambazi Ushindwe na ulegee Latifa umechagua jambo jema.Karibu hapa Kinondoni TAG REVIVAL church karibu na biafra kuna kanisa lenye kumtukuza na kumwinua Bwana Ibada kila jumapili 1.00-4.00 asubuhi na 4.00-7.00 mchana wengi wamemwona Bwana katika maisha yao.
 
Last edited by a moderator:
Ulikua muisilaam jina au unaufahamu uisilamu kabla ya kufanya maamuzi haya

Nasema hivi. Kuna wapagani wengi wenye majina kama yako.
 
Umeamua kuwa mkristo kwann??Ulikuwa mpagan au muislam?Nini kimekukuta mpaka uamue kuwa mkristo??Ukifunguka vzr natuakikishia utapata ushaur mzur sn,km uwe mkatoriki,mruther,ukasar kwa kakobe,nkwera,mzee wa upako,efatha,winners,tag n.k!Yapo meng km vituo vya daladala yaaan ushindwe wewe tu!
 
sema Bwana YESU...
FUTA JINA LANGU kwenye kitabu cha hukumu
liandike kwenye kitabu cha uzima
isamehe na kunitakasa
ninakuamini wewe kua Bwana, na mwokozi wa maisha yangu
Amen
kama uko Dar
nenda na jitambulishe, kinondoni Revival Church Kalibu na biafra, kituo cha kanisani there utapata kila utakacho kiroho na hutojuta- if you are joking lm not.
 
Karibu sana kanisa la kiroho lililo 2kuzwa na mitume,manabii na yesu mwenyewe nalo ni la wasabato hakika utakuwa imara kiroho na kimwili
 
Karibu sana kanisa la kiroho lililo 2kuzwa na mitume,manabii na yesu mwenyewe nalo ni la wasabato hakika utakuwa imara kiroho na kimwili.barikiwa sana ratifaa
 
Nimeamua kuwa mkristo natafuta kanisa lakiroho nianzekwenda maeneo ya mabibo hosteli. Sio kanisa la mazingaumbwe noo kanisa la kuijenga roho yangu na uhusiano mzuri na Mungu mwenyezi

unatafuta mume nini?
 
Nimeamua kuwa mkristo natafuta kanisa lakiroho nianzekwenda maeneo ya mabibo hosteli. Sio kanisa la mazingaumbwe noo kanisa la kuijenga roho yangu na uhusiano mzuri na Mungu mwenyezi
Kama ungeweza kwenda hata kanisa lililo mbali na hapo mabibo hostel ningekuelekeza kwenye kanisa la roho na kweli
 
KakaJambazi Ushindwe na ulegee Latifa umechagua jambo jema.Karibu hapa Kinondoni TAG REVIVAL church karibu na biafra kuna kanisa lenye kumtukuza na kumwinua Bwana Ibada kila jumapili 1.00-4.00 asubuhi na 4.00-7.00 mchana wengi wamemwona Bwana katika maisha yao.

Kutana na mama Eshmendi Swai ujazwe roho Mtakatifu! Latifa karibu sana Kinondoni Revival Church
 
Nimeamua kuwa mkristo natafuta kanisa lakiroho nianzekwenda maeneo ya mabibo hosteli. Sio kanisa la mazingaumbwe noo kanisa la kuijenga roho yangu na uhusiano mzuri na Mungu mwenyezi
Mwanzo ulikua nani mkuu??? jee umesibiwa na majanga gani huko hata ukatamani kutoka??
 
Latifa nakusihi sana usome kitabu cha kutoka 20:8-11 kabla hujaamu kwenda kusali kanisa lolote
 
siombi ruhusa wala nikwamba naomba kuelekezwa nisije nikakosea njia, makanisa yamekua mengi nayanapingana means imanizao nitofauti kuna ndiyo na siyo

0
Ni kweli zipo imani nyingi na ni ngumu kuzitambua hebu jaribu kusikiliza youtube za huyo mkufunzi , sikiliza nyingi kadir uwezavyo . Baada ya hapo utachagua kanisa la kwenda na utakua umejua mengi hata watakapokosea wewe utabaki kwenye imani sahihi hakuna atakaekudanganya tena.
 
Nimeamua kuwa mkristo natafuta kanisa lakiroho nianzekwenda maeneo ya mabibo hosteli. Sio kanisa la mazingaumbwe noo kanisa la kuijenga roho yangu na uhusiano mzuri na Mungu mwenyezi

Nakushauri ukamuone Mama Zungu (Rwakatare), Zungu Kakobe, Zungu Mwingira, kama hawa hauwataki pale Mabibo karibia na baa ya Rangers kuna wale waNigeria (wakimashaka) wanahubiri neno la Mungu pia tena wana maajabu ya balaa kama vile nyoka anakutoka tu ghafla mfukoni, mtu kuanguka (msanii) toka juu ya mti huku akilia alitumwa na Mungu kuna wanigeria watamsaidia kuokoka ndipo akaja pale. Mbona makanisa ya hajabu yako mengi tu. Kama unataka ni pm nije nikuchukue nikupeleke ila mwezi ujao kwani kwa sasa niko mbali kidogo.
 
unajadili makanisa au unataka kwenda kusali??
 
Back
Top Bottom