Kuna makosa ulifanya maishani na ndio wanayofanya wengi wetu.Kiwanja ni mil 8,ila kiuhalisia Bei yake ni mil 15 hadi 12
Niko dsm hapa wanapojenga barabara ya njia 8, lifestyle nishabadil kitambo tatizo Kila leo afadhal ya jana
Usiseme wateja hakuna. Tatizo ni wa kufika bei. Niliwahi kupeleka gari sokoni baada ya kuona limekuwa screppa. Nililifikisha leo na kesho likawa limeuzika kwa kuwa niliuza bei ndogo. Wakati huo kuna magari makali yako show room miezi kibao. Shusha bei upate feza kidogo zikusaidie kws sasa.Wateja hakuna kila unayemgusa hana hela,nishatumia hadi madalali,na viko sehemu nzuri tu
Je,uliwahi kuwa na kampuni?,baki na kazi yako huku unatafuta fursa nyingine,....anza kuishi Low profile,usiendelee kujilazimisha kuishi maisha ambayo yanakula kipato chako.Nahisi nikiacha kazi nitapata msukumo wa kujua Cha kufanya
Kazini napoteza muda tu kiukwel
Nina mpango wa kufungua kampuni,nishaandaa Hadi momerandum,nahangaikia kuisajil tu
Then nijitose,huenda nikikosa hata hiyo 220k nitapata akil Zaid na hasira ya kufanya vizuri zaid
Kwa mshahara wake huo ni ghali. Kuna mpaka za 20000Wala hata si ghali,100k Kwa watoto wawil ni reasonable kabisa
Wife material ndo huyu yule jamaa anayetafuta mke natamani akuone [emoji3][emoji3][emoji3]Nakushauri usiache kazi. Kabla hujajua cha kufanya.
Nakushauri siku ya jmosi nenda masokoo makukuu nunua nguo ambazo unaona ni nzuri na zinaenda na wakati. Jaribu kutumia CM yako hiyohiyo kuuzia watu Pamoja na Kazini kwako.
Ukijituma kwa hivyo angalau itakusaidia kidogo. Usikate tamaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hali ni ngumu kitaani asee. Kujituma lazimaWife material ndo huyu yule jamaa anayetafuta mke natamani akuone [emoji3][emoji3][emoji3]
Ubunifu mzuri
Mimi nimechangia tuu kama ulivyosema wewe kuwa ni single mother, ila swali langu viwanja viko mkoa gani?Sitaki mume nataka nipate kipato Cha kujisimamia na wanangu tu baassi
Thanks umeongea Mambo mazuri sanaKuna makosa ulifanya maishani na ndio wanayofanya wengi wetu.
1. Ulichukua mkopo ukaweka kwenye liability. Wapo watu watasema hapa nyumba na viwanja ni asset. Ila niamini mimi vyote ulivyonavyo kwasasa ni liability maana havikuingizii chochote na vimebaki kuwa mzigo kwako kwakuwa havijakusaidia hata kutoka katika situation unayolia nayo sasa.
Sasa unataka kuacha kazi kwasababu unapokea 20k ambayo haitoshi, unakoenda unaweza tengeneza zaidi ya laki 2 kila mwezi ukaishi? Au ndio itakulazimu kwenda kwenye night busines?
Be serious mie mwenyewe nimekuwa mtumishi wa serikali na baada ya bodi nilikuwa nabaki na 180k. Na ni mwanaume, nionge, nile, nilipe kodi niendeshe maisha ya kila siku pamoja na ndugu. Sikukaa tamaa, nilifanya mpk biashara ambazo degree yangu ilibdi ifichwe uvunguni.
Mkopo niliokuwa nimechukua ulikufa siku moja, mwezi mmoja baada ya kuuwekeza, can u imagine the situation nilikuwa nayo?
Sikutaka kuacha kazi katika kipind hiko, lakin nia ilikuwa siku moja naacha kuwa mwajiriwa. Na nilianza kazi mwaka mmoja na wewe 2013. I tell u ndoto ilitimia. Tangu mwaka huu uanze Rasmi sipo kazini. Nafanya maisha yangu na kipato changu kwa wiki ni zaidi ya hiyo pesa niliokuwa napewa kwa mwezi. Na nnasonga.
Hivyo, usiache kazi ila tafta kitakachokuwa nguzo ukiacha kazi.
2. Umesema upo dar, hivi kweli dar unakosa kazi ya ziada ya kuzalisha cha ziada. Nawashangaaga sana wakazi wa mji huu. Mimi nikiingiaga hapa nafanya kazi napata pesa mpk najishangaa. Maana kila kitu dar ni fursa hata kuuza tu utumbo wa kuku[emoji848][emoji848]
Unafeli wapi sasa?
3. Kwakuwa una liability zisizozalisha, zigeuze kuwa asset. Liability zako zote zinaweza geuzwa kuwa asset, unafeli wapi?
Unasema unaanzisha sasa kampuni, duuh nimejiuliza na sijui upo hapa ku joke? Yan huna ela, then uanzishe kampuni[emoji16][emoji16] unaanzisha na nini? Kampuni zitalipiwa kodi, utalipa na nini? Napata picha ya kuona unapenda mambo makuu kabla ya kumaliza madogo, na unafanya mambo bila hesabu nyingi thats y una viwanja viwili na pagale na bado ulipanga kuuza kiwanja umalizie pagale lako. Hatari kabisa hii.
Jaribu kubadili watu wanaokushauri. Ama jinsinunavyojishauri [emoji378][emoji95]think clear always.
Mwisho nikutakie kila la heri. Katika ushauri wangu fanyia kazi dots nilizoweka, najua nnachoongea na nmekuwa mtumishi na mwenye mshahara wenye makato na bank, na bodi, tena niliepitia majanga makubwa. Lakini nimepenya.
Kila la heri.
Amin...Thanks umeongea Mambo mazuri sana
Waswahili wanasema chungu lakini dawa
Wacha niufatishe ushauri wako
Pia nijipange kabla ya kuondoka,ila nnakuahidi hadi tunaanza 2021 panapo majaliwa,nitakuwa nishaacha kazi serikalini
Ahhh Sina muda nayejaribu kuwa mvumilivu maana usingle mother unahitaji uvumilivu sana halafu halafu huyo jamaa uliyezaa nae mpeleke ustawi wa jamii atoe fedha ya matunzo ya makinda wako
Kwani kwa sasa ushamaliza sifa za kuolewa au hutaki tuAhhh Sina muda naye
Wajua tatizo nilipoanza naye yeye alikuwa Hana kitu,nilimfadhil kwa mengi hadi kusimama, that's y hata nikimwambia nimekwama haamini anaona Kama nataka kumchuna
Isitoshe kupeleka wanangu ustawi ni kuwadhalilisha na watakuja mchukia baba yao hapo baadae wakijakua halafu wakagundua alikuwa na uwezo lakini hakutaka wahudumia,Nitapambana mwenyewe tu,Mungu aliyenipa hawa watoto Ana makusudi yake natambua.
Safi Sana mkuu hongeraNishampatia kitambo anakujibu atalipa ila hatoi na hajawahi toa hata mia yake
Juzi hapa walipofunga shule nikamtumia akaunti ya shule akasema atalipa,ila hadi leo wanangu wana wiki ya pili shuleni hajalipa,ilibid nikalipe tu mwenyewe
Mtu nzima na watoto wako...usijiite yatima.Najipa moyo vipi?nataka Sana kuacha kazi sema sijajua Cha kufanya after and hawa wanangu ntawapeleka wapi?mie yatima Sina wazazi,walezi walonilea washao doka dunian wangeweza nisaidia,ndugu waliobaki wananiona mie ndio tajiri wa ukoo ilhali naugulia ndani,inshort wote wananiangalia mie
We una matatizo.Mie nahangaika na maisha wanambia habari za kutafuta mume kweli?bahati mbaya wanaume naowapata wanakuwa hawana msaada Zaid wananiona fursa