Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka hii kitu

Discussion in 'Urembo, Mitindo na Utanashati' started by scorpio me, Dec 29, 2016.

 1. scorpio me

  scorpio me JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2016
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 2,844
  Likes Received: 2,773
  Trophy Points: 280
  Jamani nifanye mazoezi gani nipate hii thigh gap....naitamani kweli

  Mazoezi ambayo sitapunguza wala kuongeza anything kune my body except kupata tu hiyo sexy thigh gap

  [​IMG]
   
 2. mlekulechoma

  mlekulechoma JF-Expert Member

  #61
  Jan 13, 2017
  Joined: Nov 2, 2014
  Messages: 391
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 60
  Umbo hili mtu huzaliwa hivi...labda plastic surgery itasaidia....weka picha yako humu tuone kwanza ili nijue jinsi ya kukushauri
   
 3. muggyen

  muggyen JF-Expert Member

  #62
  Jan 21, 2017 at 11:09 AM
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 261
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hilo gap ni result ya mazoezi kuna video moja ntaweka hapa au screenshot yake. Watu wa mazoezi watakuambia linaitwaje kisha lisake youtube utapata tu hilo gap . Kitu cha miezi kama mitatu nadhani. Halafu usiacha kutuwekea picha yako humu. Pongezi kwa instructor si mbaya . Ngoja nkutafutie kwanza hio picha
   
 4. L

  LadyRed JF-Expert Member

  #63
  Jan 21, 2017 at 10:29 PM
  Joined: Mar 19, 2016
  Messages: 2,316
  Likes Received: 1,648
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe hilo gap btn the thighs ni dilii... Wats special abt it..I have it..#shy..
   
 5. L

  LadyRed JF-Expert Member

  #64
  Jan 21, 2017 at 10:32 PM
  Joined: Mar 19, 2016
  Messages: 2,316
  Likes Received: 1,648
  Trophy Points: 280
  Sio kuziponda mkuu,wanaume wanapenda misambwandaa..lol..mtu akiwa flat screen anataka anenepe aonbeze wezere
   
 6. m

  mogulnoise JF-Expert Member

  #65
  Jan 22, 2017 at 8:20 AM
  Joined: Oct 28, 2014
  Messages: 407
  Likes Received: 562
  Trophy Points: 180
  Misambwanda inavutia tu ikiwa kwenye nguo ila mpango mzima flati screen bwana tunaziita bampa to bampa
  Ukimkuta mjuzi shughuli yake si kitoto
   
Loading...