Nataka hii kitu | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka hii kitu

Discussion in 'Urembo, Mitindo na Utanashati' started by scorpio me, Dec 29, 2016.

 1. scorpio me

  scorpio me JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2016
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 3,710
  Likes Received: 4,123
  Trophy Points: 280
  Jamani nifanye mazoezi gani nipate hii thigh gap....naitamani kweli

  Mazoezi ambayo sitapunguza wala kuongeza anything kune my body except kupata tu hiyo sexy thigh gap

  [​IMG]
   
 2. scorpio me

  scorpio me JF-Expert Member

  #41
  Dec 29, 2016
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 3,710
  Likes Received: 4,123
  Trophy Points: 280
  Apia
   
 3. Mr.laravel

  Mr.laravel JF-Expert Member

  #42
  Dec 29, 2016
  Joined: Oct 1, 2015
  Messages: 425
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 80
  Hahaha
   
 4. lynne

  lynne JF-Expert Member

  #43
  Dec 29, 2016
  Joined: Oct 16, 2014
  Messages: 578
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 180
  Mwenyewe najuaga unazaliwa nayo
   
 5. w

  wise-comedian JF-Expert Member

  #44
  Dec 29, 2016
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,128
  Likes Received: 2,130
  Trophy Points: 280
  Kunywa mlonge kila jioni baada ya kufanya zoezi la baiskeli
   
 6. Don255

  Don255 JF-Expert Member

  #45
  Dec 29, 2016
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 180
  piga skwaji....nyanyukia kwa nyuma...baada ya mwez jiangalie kweny kioo...utapenda
   
 7. turbocharger

  turbocharger Member

  #46
  Dec 29, 2016
  Joined: Dec 14, 2016
  Messages: 25
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 15
  Wewe mleta mada mama yako anahio nafasi maana vitu vingine vinaenda kwa kurithi wewe utapiga msamba yawe mengine
   
 8. mbongo_halisi

  mbongo_halisi JF-Expert Member

  #47
  Dec 29, 2016
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 2,119
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280

  Nitafute nikupe mazoezi sahihi....mwezi mmoja tu utapendeza kupita huyo aliyejiphotoshop.
   
 9. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #48
  Dec 29, 2016
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 9,539
  Likes Received: 1,613
  Trophy Points: 280
  Weka kwanza ulivyo ndo nikupe ushauri kulingana na ulivyo
   
 10. merengo90

  merengo90 JF-Expert Member

  #49
  Jan 1, 2017
  Joined: Nov 5, 2013
  Messages: 6,380
  Likes Received: 2,049
  Trophy Points: 280
  Haya ni maumbile tu, usiumize kichwa wala nini.

  Chunguza napenda kitu chako uniq.......
   
 11. ndege JOHN

  ndege JOHN JF-Expert Member

  #50
  Jan 1, 2017
  Joined: Aug 31, 2016
  Messages: 2,678
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Mpk Sasa sijajua knachotafutwa
   
 12. scorpio me

  scorpio me JF-Expert Member

  #51
  Jan 1, 2017
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 3,710
  Likes Received: 4,123
  Trophy Points: 280
  Kile kinafasi
   
 13. ndege JOHN

  ndege JOHN JF-Expert Member

  #52
  Jan 1, 2017
  Joined: Aug 31, 2016
  Messages: 2,678
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Mbona kila mtu anacho
   
 14. scorpio me

  scorpio me JF-Expert Member

  #53
  Jan 1, 2017
  Joined: Aug 2, 2016
  Messages: 3,710
  Likes Received: 4,123
  Trophy Points: 280
  Si kweli
   
 15. GOWISHI

  GOWISHI JF-Expert Member

  #54
  Jan 3, 2017
  Joined: Jan 31, 2015
  Messages: 598
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 180
  kwani ukoje sasa hivi?
   
 16. m

  mogulnoise JF-Expert Member

  #55
  Jan 3, 2017
  Joined: Oct 28, 2014
  Messages: 883
  Likes Received: 2,139
  Trophy Points: 180
  Nauitaga mwanya wa kati balaa hiyo figure

  Na wasiwasi na jinsia yako wanawake wengi wa bongo wanaziponda hizi figure so sijui wewe umeyajuaje haya maujanja

  Wacheza yoga wengi wanamiliki hizo tigh gap just practice yoga ila body lazima ipungue
   
 17. okyo

  okyo JF-Expert Member

  #56
  Jan 5, 2017
  Joined: Mar 16, 2013
  Messages: 1,286
  Likes Received: 321
  Trophy Points: 180
  Yani hakuna kitu napenda kama kuona mwanamke anapenda mazoezi kwa maana mazoezi ndio furaha yangu huwa nawaza sana kuhusu kupata mke? Itakuwaje nikipenda msichana ambae hapendi mazoezi? Nafikiri hili litanitesa sana itabidi nitafute mke gym
   
 18. 24hrs

  24hrs JF-Expert Member

  #57
  Jan 5, 2017
  Joined: Dec 8, 2016
  Messages: 2,298
  Likes Received: 5,000
  Trophy Points: 280
  ahaa tupia ya kwako halis
   
 19. GIUSEPPE

  GIUSEPPE JF-Expert Member

  #58
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 3,331
  Likes Received: 3,255
  Trophy Points: 280
  Weka kwanza picha ya nyuma yako ili tuone pakoje ndo tukushauri utafanyaje ili uwe kama huyu pichani
   
 20. Kilangi masanja

  Kilangi masanja JF-Expert Member

  #59
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 984
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 60
  Hahaaa mkuu unaonekana uko vzuri kwa hizo mambo

  Sent from mTalk using microsoft lumia 950xl
   
 21. Kessy Wa Kilimanjaro

  Kessy Wa Kilimanjaro JF-Expert Member

  #60
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 23, 2016
  Messages: 328
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  Its genetic lakini wanaweza kufanya cosmetic surgery kuondoa mafuta yalio kati kati ya thighs zako au unaeeza kuacha kula mpaka ukonde lol
   
Loading...