Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,642
- 133,388
Watu Wanataka hadi kazi ya kubeba nondo lije na maneno ya kubembeleza 😂Atajuwa mbele kwa mbele
Tangazo la kibabe sana 😄
Halina mbwmbw
Ova
Watu Wanataka hadi kazi ya kubeba nondo lije na maneno ya kubembeleza 😂Atajuwa mbele kwa mbele
Tangazo la kibabe sana 😄
Halina mbwmbw
Ova
Hakuna namna 😂Mimi ndio naenda za october mzee subiri june huko😆
Sawa madamKwahiyo wahamishe kiwanda karibu na ulipo? Huhitaji hiyo kazi wewe!
Ni vizuri kuwaandaa watu wajue wategemee nini.Watu Wanataka hadi kazi ya kubeba nondo lije na maneno ya kubembeleza 😂
😀😀usiseme sana MbagaBro, mm mwnyw nimekulia huko.
Em tuache ujuaji, Kuna mwamba humu JF nae alileta Mada yake ety analalamika mshahara wa 1.5M haumtoshi
Guys acheni hizo aisee, uzuri n kwamba kila mtu anajua maisha yake ambayo n tofaut na humu kwenye mitandao
Kwahiyo kwenu boss tayari ashaongeza salary kisa nauli ni buku?Ulikuwa ndio umeumaliza Chua na huna familia, pia inaweza kuwa kazi ya 200k lakini kuna dili nyingine za pembeni au viposho vya hapa na pale au kazi nusu siku tu, halafu labda hata ni zamani wakati nauli ni jero, sasa hivi nauli ya chini kabisa ya dalaladala ni buku na hakuna boda anayekubali buku tena.
Uandaliwe kwenda kubeba nondo?Ni vizuri kuwaandaa watu wajue wategemee nini.
Najua Hilo mdada, ila wanamtandao kwa kujipandisha 🙌😀😀usiseme sana Mbaga
Watu wana matumizi.. watu wana majukumu
Kuna mwenye laki4 inayomtosha na kubaki. Na mwimgine ana 2m inaisha tarehe 19. Ohooo
Ndiyo.Uandaliwe kwenda kubeba nondo?
😀😀Mbaga usibishane na mabossNajua Hilo mdada, ila wanamtandao kwa kujipandisha 🙌
Wanatakiwa kwenda kupiga kazi tu,wasiulize maswaliWatu Wanataka hadi kazi ya kubeba nondo lije na maneno ya kubembeleza 😂
Naam 😂Wanatakiwa kwenda kupiga kazi tu,wasiulize maswali
Watajuwa mbelembele 😄
Ova
Huyo unayechat naye mbona ameweka reactions za kicheko? Au ndo anacheka wanaoenda kupiga kazi huko kiwandani..!! 😹😹😹
Bc wakafuge majini waache kulalamikia mshahara wa 1.5m ambao hautoshi 😂😀😀Mbaga usibishane na maboss
Imagine uliajiriwa enzi nauli 400. Sahv nauli 1000 na boss hajali wala nini. Wala huwezi mfosi aongeze.. utachagua wewe, uendelee na hiyo kazi au urudi kwenu kufuga majini
Na watengeneze poster kabisa 😂Ndiyo.
Nyoka wenyewe siku hizi hawatoi hela, wajuba wameanza kuwachemsha😀😀Bc wakafuge majini waache kulalamikia mshahara wa 1.5m ambao hautoshi 😂
comrade_kipepe njoo umchukue jamaa yako huku kashindikanaMkuu, tangazo lipo vzr na linaeleweka sana tuu, n nyie mmeshindwa kujiongeza.
Ww unaona huo mshahara, unadhani itakuwa n kazi ya ofisini, unaingia na tshirt nyeupe unatoka ikiwa nyeupe vile vile?
Umeambiwa uwe na nida tuu, sasa kama wangetaka elimu yako c wangesema uje na vyeti, hakuna mambo ya elimu mana inahitajika nguvu na sio akili za darasani.
Wakuu, mbona tangazo limekaa kueleweka fresh tuu
Mabeseni sio .... nyie ni wale wa ",good morning " mda wote ndio Salam yenu hata kama ni usiku ! Alafu kila asbh na jion mna gwaride.... mnadanganyana kuwa mtakuwa mabilionea kumbe mnatembeza mabesenisisi sio hao mzee -ulizia Prance international co ltd acha kuongea kama kichwani hamna kitu unaevidence ??kwa unachokiongea